Tuacheni masihara saa kumi na moja alfajiri huwa kuna mwanga kweli

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
Wataalamu wa hali ya hewa tupeni ufafanuzi
tapatalk_1539936956445.jpeg
 
Mmmmh. Simo maana naona kama limepaki nyumba ya bati la kawaida na mnazi pembeni na gari nyeupe. Mmmh simo
 
Wewe ni mchawi si bure, kwa hiyo umeambiwa ilipigwa picha saa 11 kama picha zmechukuliwa ilivopaki yaani jana yake au wakati imeshafika mbali je. hivi nyie mtaacha kupinga kila kitu lini?
Unasemaje vile.!!
 
Hivi lini hawa wenye thamana za uongozi watatambua kuwa RAIA nao ni watu wenye akili timamu , busara, utambuzi na elimu zao pengine hata kuwazidi wao.
 
Wewe ni mchawi si bure, kwa hiyo umeambiwa ilipigwa picha saa 11 kama picha zmechukuliwa ilivopaki yaani jana yake au wakati imeshafika mbali je. hivi nyie mtaacha kupinga kila kitu lini?

Ndugu yangu kuna watu wa aina nyingi sana humu JF...Siyo suala la kupinga kila kitu tu linaloudhi bali hata uelewa wa issues mbalimbali kwa baadhi uko chini mno
 
upeo mdogo.... kwani umeambiwa picha imepigwa siku ya tukio au umeambiwa ni picha ya gari lililohusika kwenye tukio
 
Back
Top Bottom