Kwanini wahindi wengi posta na kariakoo hufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi saa nne na kufunga saa kumi na moja

Wanaenda na maisha ya wengi
Uvivu na kujivuta ni kawaida ya umasikini kwa hiyo nao wame adapt maisha hayo
Na siku mvua ikinyesha ndio hawafungui kabisa maana tunaogopa mvua kama tutayeyuka

Kwanini nasema hivyo?
Wahindi wa nchi zingine matajiri wao ndio wamewafundisha mpaka wazungu kufungua biashara moaka jumamosi na jumapili wakati wazungu walikuwa hawafungui siku Tatu miaka ya nyuma

Ila siku hizi wameona walichelewa sana na sasa wanafungua masaa 24
Huku nikitaka maziwa saa 5 ya usiku naenda supermarket napata
 
Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa hapo hapo posta na kariakoo
Wahindi wana socialise sana wenyewe kwa wenyewe. Ule muda wa usiku huutumia kukutana kwenye maeneo yao, huko watakula pamoja, wataimba, watacheza, watapiga vyombo vya muziki, watacheza mpira, wataangalia pamoja movies, watafanya group calls na wenzao wa sehemu mbalimbali duniani
Kupitia ku socialise huko hiwa pia wana maintain identity yao na wanatafuta na kupeana connections.
Kwa huko bongo, wengi hujikuta wanarudi kulala saa 6 au 7 na kabla hajatoka nyumbani lazima ale chakula nyumbani na wapigiane tena asubuhi kama walifika na kuamka salama. Je hapo haujafungua duka saa 3?
Twendeni Birmingham.
 
Kabla ya saa 3 asbh na baada ya saa 11½ jioni wateja wanakuwa wachache sana wanaona wanapoteza muda bure.
 
Ikifika sa8 wanafunga wanaenda kutoo mbana,wahindi hawasex usiku ni mwiko.
Sio mwiko,mchana watoto wameenda shule,wao ukaa kwenye vidisco ambapo watoto na ndugu wote wa kiume ulala chumba kimoja na baba na mama na jinsia yake pia.
 
Habar kwanin wahindi wengi mitaa ya kariakoo hupenda kufungua maduka Yao saa tatu asubuh hadi wakati mwingine saa nne na huwahi kufunga maduka Yao saa kumi na moja na nusu..ukizingatia wengi hukaa hapo hapo posta na kariakoo
Tupe jibu wewe ....utasikia ushirikina.....tunasubiri majibu unayoyataka wewe
 
Wanaheshimu muda wa kazi

Muda wa kazi kisheria ni Masaa nane.Wakiuza Masaa nane wanaenda kupumzika na kustarehe.Kazi na dawa
 
Back
Top Bottom