EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Tuacheni dharau kila mmoja ni mtaalam kwenye professional aliyosomea.
Huwezi kumlinganisha mtu mwenye Masters ya Biology na mtu mwenye masters ya Sheria kwenye kujadili mambo yanayohusu sheria. Lazima mtu wa sheria ataonekana bora zaidi kuliko wa biology hata kama wa biology ni prof. Hivyo mawazo ya mtu wa sheria yatakua bora zaidi.
Vivyo hivyo Huwezi kumlinganisha mtu mwenye Masters ya Biology na mtu mwenye masters ya Sheria kwenye kujadili Mambo yanayohusu sayansi ya mwili wa binadamu. Lazima mtu wa biology ataonekana ni bora zaidi kuliko mtu wa sheria. Na mawazo yake yataheshika zaidi.
Kwa hiyo unapoanza kumhukumu msomi, usiishie tu kusema ni msomi lakini haelewi au elimu yake haina maana au hajui kiingereza, jiulize kwanza huyo msomi ni msomi wa masomo yepi.
Kama ni prof. jiulize je ni professor wa somo gani. Usiseme tu ni prof. alafu hajui kitu kumbe hicho ambacho unamhukumu yeye hajasomea pengine yeye ni professor wa physics, sasa kwenye physics wanajifunza grammer, wanajifunza phonolojia nakuuliza kwenye physics wanajifunza adjectives, wanajifunza verb.
Hakika kama kwenye hotuba tungekuwa tunazungumza kwa kutumia lugha ya physics sidhani kama wewe mwenye dharau ungeweza kumwelewa prof. physics.
Basi elewa tu kwamba kwenye level za juu za elimu watu hawaendi kusome lugha wala hicho ambacho unataka yeye akitoe watu wanaspecialize.
Kwa hiyo kuwa na level kubwa ya elimu sio ndio kwamba huyo mtu anaelewa kila kitu, sio kwamba ndio anajua vitu vyoteee hapa duniani hapana.
Mimi nashangaa sana watu wakiona tu mtu mwenye level kubwa ya elimu akikosea basi wanawakaaa. Usihukumu harakaharaka.
Sijasomea kiswahili ndugu zangu msinihukumu kwa kuwa na mpangilio mbovu wa maneno.
Najua kuna wenye BA za Kiswahili hapa watakua wa kwanza kucomment