Tuacheni dharau, kila mmoja ni mtaalam kwenye profession aliyosomea

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,081
Tuacheni dharau kila mmoja ni mtaalam kwenye professional aliyosomea.

Huwezi kumlinganisha mtu mwenye Masters ya Biology na mtu mwenye masters ya Sheria kwenye kujadili mambo yanayohusu sheria. Lazima mtu wa sheria ataonekana bora zaidi kuliko wa biology hata kama wa biology ni prof. Hivyo mawazo ya mtu wa sheria yatakua bora zaidi.

Vivyo hivyo Huwezi kumlinganisha mtu mwenye Masters ya Biology na mtu mwenye masters ya Sheria kwenye kujadili Mambo yanayohusu sayansi ya mwili wa binadamu. Lazima mtu wa biology ataonekana ni bora zaidi kuliko mtu wa sheria. Na mawazo yake yataheshika zaidi.

Kwa hiyo unapoanza kumhukumu msomi, usiishie tu kusema ni msomi lakini haelewi au elimu yake haina maana au hajui kiingereza, jiulize kwanza huyo msomi ni msomi wa masomo yepi.

Kama ni prof. jiulize je ni professor wa somo gani. Usiseme tu ni prof. alafu hajui kitu kumbe hicho ambacho unamhukumu yeye hajasomea pengine yeye ni professor wa physics, sasa kwenye physics wanajifunza grammer, wanajifunza phonolojia nakuuliza kwenye physics wanajifunza adjectives, wanajifunza verb.

Hakika kama kwenye hotuba tungekuwa tunazungumza kwa kutumia lugha ya physics sidhani kama wewe mwenye dharau ungeweza kumwelewa prof. physics.

Basi elewa tu kwamba kwenye level za juu za elimu watu hawaendi kusome lugha wala hicho ambacho unataka yeye akitoe watu wanaspecialize.

Kwa hiyo kuwa na level kubwa ya elimu sio ndio kwamba huyo mtu anaelewa kila kitu, sio kwamba ndio anajua vitu vyoteee hapa duniani hapana.

Mimi nashangaa sana watu wakiona tu mtu mwenye level kubwa ya elimu akikosea basi wanawakaaa. Usihukumu harakaharaka.

Sijasomea kiswahili ndugu zangu msinihukumu kwa kuwa na mpangilio mbovu wa maneno.

Najua kuna wenye BA za Kiswahili hapa watakua wa kwanza kucomment
 
Kwa Hiyo unataka kusema mtu mwenye PhD ya Chemistry Asipojua kuunda sentensi ya Kiingereza na kuitamka vyema Kwako ni Sawa kabisa na tusimhukumu Kisa hana PhD ya Lugha ya Kiingereza? Huo ni mfano.
 
Siyo mimi ni wao ndiyo wamekubaliana kwamba elimu siyo ishu
 
Kwa Hiyo unataka kusema mtu mwenye PhD ya Chemistry Asipojua kuunda sentensi ya Kiingereza na kuitamka vyema Kwako ni Sawa kabisa na tusimhukumu Kisa hana PhD ya Lugha ya Kiingereza? Huo ni mfano.
Umewahi soma chemistry kokote kule, unaijua lugha inayotumika kwenye chemistry ni lugha ya namna gani. Tena kuna maneno ambayo ukiulizwa wewe hata muda huu utabaki mdomo wazi. Kwenye chemistry wana solve problems hawajifunzi kiingereza mle
 
Sasa magu mbona kila sekta alikuwepo? na ulikuwa unatetea ?
alikua na uzoefu na alipenda kujifunza, wapo watu wenye uwezo wa namna hiyo wanaweza kujifunza na fani zingine kwa kusoma vitabu wenyewe. Hata Elon Musk ni physicit, mchumi ni engineer
 
Leo hii sababu kubwa ya kukwama kwa mradi wa LNG ni kutokana na Prof. Muhongo kuwafungua macho serikali mara tu alipofika serikalini akitokea South Africa.

Prof ndio aliewaeleza how ‘Production Sharing Agreements’ works na kuwafunda kwenye negotiation terms za mambo mengine ya host country kama mazingira, faida ya jamii inayozunguka mradi etc; na ndio negotiations zimekwamia kwenye hizo aspects leo.

Hizo credit apewi ila ukweli ni kwamba ni Prof. Muhongo ndio aliyepeleka sheria kwa hati ya dharura na kuharibu njama za kinyonyaji za mabeberu mapema kabla serikali aijaingia kichwa kichwa.

Kwa hivyo Muhongo anayo contribution kubwa kwa taifa kutokana na elimu yake tofauti na anavyosemwa bungeni.

Matter of fact kwenye maswala ya Oil and Gas (pertaining upstream and midstream) kama raisi anahitaji independent second opinion kwa anayoshauriwa serikalini kabla ya kuamua Muhongo ndio kichwa chake ndani ya Tanzania. But not on downstream hana hizo business managerial skills za biashara ya mwisho.

Tatizo lake Prof. Muhongo ni kama vile kapagawa kuwa nje ya serikali and he deserve what he got bungeni kutokana na kauli zake; lakini kiuhalisia darasa la saba huyo mtu sio wa size yao kwenye Oil and Gas, Prof ni level kubwa sana.
 
Kama darasa la Saba anaweza kufika bungeni na kuwa sehemu wa watunga sheria na watu wanaopaswa kuisimamia serikali basi anaweza pia kumpa shule professor wako.
Bunge la kijani.
Leo hii sababu kubwa ya kukwama kwa mradi wa LNG ni kutokana na Prof. Muhongo kuwafungua macho serikali how ‘Production Sharing Agreements’ works na negotiation terms za mambo mengine ya host country kama mazingira, faida ya jamii inayozunguka mradi etc.

Hizo credit apewi ila ukweli ni kwamba ni Prof. Muhongo ndio aliyepeleka sheria kwa hati ya dharura na kuaribu njama za kuinyonya serikali kirahisi.

Kwa hivyo Muhongo ana contribution kwa taifa kutokana na elimu yake tofauti na anavyosemwa bungeni; matter of fact kwenye maswala ya Oil and Gas kama raisi anahitaji independent second opinion kwa anayoshauriwa kabla ya kuamua Muhongo ndio kichwa chake ndani ya Tanzania.

Tatizo lake Prof. Muhongo ni kama vile kapagawa kuwa nje ya serikali and he deserve what he got; lakini kiuhalisia darasa la saba huyo mtu sio wa kujilinganisha nae kwenye Oil and Gas ni level kubwa.
 
Kadri unavyopanda juu kielimu ndo unazidi kuelewa vitu vichache zaidi na kusahau mambo mengi, ndo maana specialist wa magonjwa ya moyo au ubongo huwezi kumpelekea wagonjwa wanaohitaji matibabu ya kawaida, utakuwa unamwonea...
 
Kama darasa la Saba anaweza kufika bungeni na kuwa sehemu wa watunga sheria na watu wanaopaswa kuisimamia serikali basi anaweza pia kumpa shule professor wako.
Bunge la kijani.
Shule gani waliyompa zaidi ya mipasho, which I agree with kutokana na alichokisema kuwa na minajali ya kumponda hayati.

Lakini Prof Muhongo kaacha alama katika kukuza uelewa wa maswala ya uwekezaji wa upstream and midstream of Oil and Gas ndani ya Tanzania.

Prof ndio technocrat wa kwanza kuweka agenda sahihi on how to approach natural resources contracts na huo ndio ukweli.
 
Ni kweli prof. Muhongo ni prof. wa miamba na anauwezo mkubwa sana kwenye sekta ya mafuta na gesi. Hilo halipingiki kwamba hakuna wakumfikia. Mimi nadhani akitaka kutoa hoja zinazohusu mafuta na gesi angejikita kwenye utilization of oil and gas, ili tujenge viwanda vinavyotegemea gesi ili kuzalisha bidhaa.
Leo hii sababu kubwa ya kukwama kwa mradi wa LNG ni kutokana na Prof. Muhongo kuwafungua macho serikali mara tu alipofika serikalini akitokea South Africa.

Prof ndio aliewaeleza how ‘Production Sharing Agreements’ works na kuwafunda kwenye negotiation terms za mambo mengine ya host country kama mazingira, faida ya jamii inayozunguka mradi etc; na ndio negotiations zimekwamia kwenye hizo aspects leo.

Hizo credit apewi ila ukweli ni kwamba ni Prof. Muhongo ndio aliyepeleka sheria kwa hati ya dharura na kuharibu njama za kinyonyaji za mabeberu mapema kabla serikali aijaingia kichwa kichwa.

Kwa hivyo Muhongo anayo contribution kubwa kwa taifa kutokana na elimu yake tofauti na anavyosemwa bungeni.

Matter of fact kwenye maswala ya Oil and Gas (pertaining upstream and midstream) kama raisi anahitaji independent second opinion kwa anayoshauriwa serikalini kabla ya kuamua Muhongo ndio kichwa chake ndani ya Tanzania. But not on downstream hana hizo business managerial skills za biashara ya mwisho.

Tatizo lake Prof. Muhongo ni kama vile kapagawa kuwa nje ya serikali and he deserve what he got bungeni kutokana na kauli zake; lakini kiuhalisia darasa la saba huyo mtu sio wa size yao kwenye Oil and Gas, Prof ni level kubwa sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom