Mwananchi wa kawaida yukojeLinajenga nyumba nzuri kama zile za Kawe umeshajaribu kufuatilia ni watu gani wanaishi kwenye hizo nyumba?Mwanachi wa kawaida hizo nyumba za NHC atabaki kuzisikia na kuziangalia tu.
Mimi nna uhakika i have been dealing with Payrolls za watumishi wa ummaKujadili mishahara ya watumishi Tanzania ni upotezaji wa muda sababu hakuma mwenye uhakika wote huwa mnaleta story mlizosikia tu na kila mtu anakuja na kiasi anachohisi.
Hili swali nlishawahi kumuuliza huyu jamaa pesonale. Akasema huu ubadhirifu ulishafanyika miaka mingi nyuma. Watu wana mikataba ya ajabu. Yeye alichoweza kufanya ni kupandisha kodi ya upangishaji. Kuwaondoa ni ngumu kwakuwa sheria inawalinda.Hivi naomba niulizie kwa huyo mchechu ,wahindi ndio watu special kwenye shirika lenu kupanga?
Na wanatumia kigezo gani kupata nyumba zote za mijini? Mbona sisi hatupati?
tulitakiwa tuanzia hapa sio kuquestion mshahara kwani akija anae lipwa laki mbili atabadilisha haya,kwani before mchechu hizo nyumba mlikaa waswahili wangapi?kingine kunanyumba za NHC zilikuwa mali ya hao wahindi kabla ya sera za ujamaaHivi naomba niulizie kwa huyo mchechu ,wahindi ndio watu special kwenye shirika lenu kupanga?
Na wanatumia kigezo gani kupata nyumba zote za mijini? Mbona sisi hatupati?
Hivi Rais alimtaja jina? Nadhani issue sio Msechu bali kuna mishahara ya ajabu hata watu hawastahili. Kwa Msechu jamani siwezi kusema sana kwa sababu aliyofanya ni amazing! Ila tu serekali itafute namna ya kujenga bei za nyumba nafuu. Halafu bahati kwa sasa utawala wa haki bais kweli wale wa hali ya chini ndio wapate hizo nyumba na mtu asipate nyumba zaidi ya moja!Watu wana wivu tu na mchechu. Hata rais ana wivu na mchechu.
Watu kibao wanalipwa zaidi ya mchechu ila hawaongelewi. Mchechu yamemkuta hayo kisa tu alikua team lowassa.
Yule mama wa tanzania investment centre anakula 38+m, na wengine wa dawasco,tpdc,tcra,rea nk ila hawaguswi.
Ni wivu tu kwa mchechu. Sioni sababu ya kumuonea wivu mchechu.
Unaujua mshahara wa Kijazi???Kwani yeye tu ndio CEO ambaye shirika lake lina mchango mkubwa? Kwanza sijui NHC inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa. Kwa hoja yako basi DG wa TANAPA ndo anatakiwa ale hela ndefu maana tourism ina mchango mkubwa kwenye GDP ya nchi.
Wahindi walianza kuishi kwenye National Housing kabla Msechu hajawa DG huko na wala kabla hajazaliwa...Hivi naomba niulizie kwa huyo mchechu ,wahindi ndio watu special kwenye shirika lenu kupanga?
Na wanatumia kigezo gani kupata nyumba zote za mijini? Mbona sisi hatupati?
Manchester City inamilikiwa na mtu tajiri sana duniani, je ilishawahi fika hata Quarter Finals za CL??akitokea tajiri akanifanya kwa kocha Newcastle, akanipa hela za kumsajili Messi,Ronaldo,Ibrahimovic,Aguero,Thiago Silva,Neymar,Pogba.De gea na wengineo,ninachukua EPL.
Inawezekana NHC imepewa meno ambayo wakurugenzi wengine hawakupewa ndio maana mnamuona Mchechu anapaform. Anawezakuja kuondoka yakajakutwa madeni ya hatari pale,period
Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.
KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.
Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Eti tu kwa kiwango tunachokiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii Mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M.
Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye taasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaidi kwasababu ni wazi shirika lilishakuwa kinapumulia mipira.
NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana Mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo.
NHC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na Tatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nini? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini.
Thats true but we have to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge.
So kama kuna watu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu.
Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivi wanakula mpaka M75. Ifike mahali tusisukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.
Manchester City inamilikiwa na mtu tajiri sana duniani, je ilishawahi fika hata Quarter Finals za CL??
Deni sio shida, kuna kitu kinaitwa Payback Period.. Baada ya muda hayo madeni yatajilipa na Shirika litaanza kujiendesha kwa faida. Mfano; ukikopa Million 50 ukajenga nyumba then ukaja kuiuza kwa Million 70 hapo umepata faida ya Million 20..
Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.
KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.
Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Eti tu kwa kiwango tunachokiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii Mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M.
Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye taasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaidi kwasababu ni wazi shirika lilishakuwa kinapumulia mipira.
NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana Mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo.
NHC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na Tatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nini? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini.
Thats true but we have to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge.
So kama kuna watu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu.
Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivi wanakula mpaka M75. Ifike mahali tusisukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.
Kwahiyo ulitaka watu wa Songea na Dakawa wasipate huduma?? Na wewe nyumba yako unayoishi unahama kila baada ya miaka minne?? Au ni nini umeongea hapa?? Project nyingi za NHC kabla hata hazijaisha watu tayari wameshafanya booking... Juzi hapa walionyesha Mtwara na wakasema tayari watu wengi wameshafanya bookings kwenye hiyo mijengo wanayojenga..Nyumba ikishakaa miaka nne kuendelea inachakaa na matengenezo inakuwa gharama kubwa, technologia inabadilika, mfumo wa umeme na maji usisema, Liangalie jengo la NIC/ Bima jijini - auziwe nani @ siku kuungua. Ndio maana serikali ikaamua kuziuza za kwake. NHC ukiacha kawe inajenga maporini pasipo soko. Huko Dakawa na Songea wapi na wapi.
Watz bado tumeathiriwa na fikra za ujamaa,tunachukia sana watu wenye mafanikio,hatutaki kuwatumia kama case study ili na sisi tuwe kama wao.Fikra za namna hii ndio imesababisha Tanzania kuchelewa kupata maendele.Ktk uchumi wa kibepari mwenye bidii na kipaji ndio huzawadiwa (rewarded).