Sioni sababu yakufanya namna hiyo kwavile naamini analipwa kutokana na Makubaliano yake na waliompa hiyo kz na uwezo wake wakufanyakaziAngaliwe upya! Hana haja ya mshahara wote huo, maana anachokifanya sio faida kwa Watanzania walio wengi!
Mtu kama Mkurugenzi wa Muhimbili Hosp alistahili kulipwa zaidi ya Mchechu, maana anaokoa
kazi kwako kufuatilia.....!
Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.
KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.
Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Eti tu kwa kiwango tunachokiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii Mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M.
Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye taasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaidi kwasababu ni wazi shirika lilishakuwa kinapumulia mipira.
NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana Mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo.
NHC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na Tatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nini? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini.
Thats true but we have to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge.
So kama kuna watu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu.
Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivi wanakula mpaka M75. Ifike mahali tusisukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.
Amesema taja hao vijana na kazi zao. Hata hivyo mkuu utapimwaje kwa kazi zisizoonekana?Kuna kazi huoni kwa macho kwa maana ya majengo lakini zipo documented sasa utasemaje. wapo walimu wazuri sana lakini utasifia wanafunzi kuwa wanaakili husifii mwalimu aliye mfundisha, kunaadministrators wazuri sana huwezi kuona utasikia wanasifiwa. Kuona majengo kunakufanya usifie mtu je umejua yanaleta faida gani katika uchumi wa nchi? Nini lengo la uanzishwaji NHC kujengea kina nani ? umefanya uchunguzi ni kina nani wanunuzi wa hizo nyumba? Baada ya miaka kadhaa nini itakua hali ya Mabenki ambayo yamefacilitate ujenzi wa majumba hayo? kuna mkakati gani wa kuzuia kilichotokea Dubai kiuchumi kisitokee huku? ukisha nijibu hayo maswali Mlipe Mchechu 35M will be very happy. naomba tuangalie kwa misingi hiyo sio kutaja majina ya watu
Acha bange wewe kijana... Kama mnamdanganya huyo Msukuma wenu hivyo basi mtoeni mueke kada wa chama hapo alafu muone atakapowafikisha...
Unashangaa Mchechu kulipwa zaidi ya Katibu Mkuu na Waziri lakini unajua DG wa Tanesco analipwa zaidi ya Katibu wake mkuu na waziri pia... Unajua DG wa Tanapa analipwa zaidi ya Katibu Mkuu wa Utalii na Waziri wake?? Na wa Ewura je?? Sasa povu haliwatoki kote huko ila linawatoka kwa Mchechu tu... Alafu unasema kabisa kajipangia mshahara, sijui uzoefu kazini, we pimbi kweli, Bade alikuwa na uzoefu gani mpaka akapewa TRA na kuachwa makamishna kibao pale bila kupandishwa?? Kama mnamtafutia kada hiyo nafasi hapo mpeni haraka sana, wapo akina Rage, Masaburi na wengine waliokosa ubunge muwape hiyo nafasi alafu muone matokeo...
mchechu hakutaka kuafanya kazi serikalini kwa sababu mbalimbali na mojawapo mishahara midogo. serikali ikamfuata na kutaka huduma yake, ni wazi jamaa ameweka dau analolitaka. sio kila mtu anaenjoy mishahara midogo na ukiritimba, na sio kila mtu yuko tayari kuwahudumia watanzania kwa kufanya kazi serikalini. kama magufuli na watanzania wengine wanafikiri mchechu anachofanya ni kibaya then wakatishe mkataba wake. aliamua kwenda private sector kwa sababu zake, msifamfanye awe sehemu ya kutoa nyongo zenu za chuki bila sababu za msingi
Mkuu na kwa hii mentality ya huyu Rais wetu mimi nasubiri kitu kimoja tu... Alisema atafukuza wote pale ATCL alafu aajiri upya, then alete Airbus 6 mpya... Sasa na hapo waajiri DG wa ajabu watakayemlipa million 3 alafu wauone moto wake... Nchi hii kwasababu kule juu watu wanakurupuka basi huku chini full kupandikiziana majungu watu waporwe kazi zao...Hii NCHI tutaenda kuuwa UCHUMI kwa kuwa kuna watu wanapiga watu vita ILI wachukue kazi zao .........hizi kazi ZA kuendesha mashirika yapate faida dunia Hii SIO rahisi .....NI Kama kufundisha timu iwe bingwa .....watu hawashangai kumlipa kocha wa TAIFA stars milioni 60 kwa MWEZI LAKINI wanaingikia mashirika ambayo yanatakiwa yapate faida .........NA tatizo mkuu wa Shirika AKIWA Tanzania mwenzao wanaona anapata pesa nyingi ....hawaulizi mishahara wa DG wa barrick...LAKINI watahoji mishahara wa Rweyemamu ..DG wa Stamico gold ..huo Mfano tu wa Kiwango chetu
Tuelewe kuwa SIO rahisi kupata MTU competent labda Kama tunataka mashirika yetu Yaongozwe NA watu wakupewa NA RAIS .......LAKINI ukitaka CEO mzuri ...aombe kazi NA afanyiwe interview kitaalamu NA RAIS apewe majina Matatu ...SIO MTU anapewa tu ..
unachotaka awabembeleze sindio mchukue pesa unasema password ilipotea muambiwe pole kwa vile mnaakili. kama mnaona nyinyi ni bora kuliko hata makatibu wakuu basi kazi sana. Cha maana cha kufanya ni kutuambia kwanini ATCL wasifukuzwe au huyo mchechu anaingiza ngapi ili alipwe 35M? basi hilo tuuMkuu na kwa hii mentality ya huyu Rais wetu mimi nasubiri kitu kimoja tu... Alisema atafukuza wote pale ATCL alafu aajiri upya, then alete Airbus 6 mpya... Sasa na hapo waajiri DG wa ajabu watakayemlipa million 3 alafu wauone moto wake... Nchi hii kwasababu kule juu watu wanakurupuka basi huku chini full kupandikiziana majungu watu waporwe kazi zao...
Mh. Rais najua unapita humu na watu wako wanapita pia... Weka kada hapa ATCL alafu uumpe hizo ndege 6 uone baada ya mwaka atakotufikisha....
unachotaka awabembeleze sindio mchukue pesa unasema password ilipotea muambiwe pole kwa vile mnaakili. kama mnaona nyinyi ni bora kuliko hata makatibu wakuu basi kazi sana. Cha maana cha kufanya ni kutuambia kwanini ATCL wasifukuzwe au huyo mchechu anaingiza ngapi ili alipwe 35M? basi hilo tuu
siwezi kushangaa privet sector but katibu mkuu is not a ceremonial post ni mtendaji kuu wa wizara sasa unaposema umzidi kwa scheme ipi hii ya Tz. unatafuta matatizo tuuCEO's ndio highly paid people everywhere .......unashangaa kumzidi mshahara Katibu Mkuu ....au waziri mwanasiasa ..???.
Basi utashangaa CEO wengi dunia Wana mshahara mkubwa kuliko Marais wengi .....akiwemo rais wa marekani ....
Hawa ma DG wengine wa umma wanalamba hizo hizo 35M and above!!na bado wana other benefits kwa mwez znafikia hadi 10M....nenda private orgs kama TBL..VTL.. Alaf angalia ma Managers au head of departments wanalipwa ngapi?hadi 60 per month.. Kwaio kama mnataka NHC iendelee na mumuajiri DG ambae atalipwa kutokana na utendaj wake wa kazi Msechu is the person..ila kama mnataka mtu ambae mumlipe million 5 akubali huku anawaibia mil100 kwa mwezi go for another options na shirika litakufa in one year
CEO's ndio highly paid people everywhere .......unashangaa kumzidi mshahara Katibu Mkuu ....au waziri mwanasiasa ..???.
Basi utashangaa CEO wengi dunia Wana mshahara mkubwa kuliko Marais wengi .....akiwemo rais wa marekani ....
siwezi kushangaa privet sector but katibu mkuu is not a ceremonial post ni mtendaji kuu wa wizara sasa unaposema umzidi kwa scheme ipi hii ya Tz. unatafuta matatizo tuu
Anapokea mshahara mkubwa kutokana NA makubaliano NA mkataba aliofikia wakati anaajiriwa ??? Simple ....Kama alikuwa poached toka private sector alikokuwa analipwa 25 million ....unategemea ahamie NHC akalipwe milioni 2 Kama kina DC Makonda ??Kwa kuwa "CEOs are highly paid people everywhere" basi yeyote mwenye hiyo title anapaswa kuwa 'highly paid" bila kujali anachofanya? Hoja iliyoko mezani ni kwamba huyu bosi wa NHC analipwa mshahara mkubwa kuliko anavyostahili au kinyume na scales za serikali etc. Majibu ya hoja hiyo hayawezi kuwa Mchechu ni kama CEO kama maCEO wengine eg. kama CEO wa Google. Mbona bosi wa Google analipwa pesa nyingi kuliko Obama? Hiyo haiwezi kuwa justification ya mshahara wa Ndugu Mchechu. Eleza, kwa nini Mchechu anastahili mshahara wa Tsh. 35 million kwa mwezi? Tuambie kwamba yeye ni alien, anatokea sayari nyingine ndio maana tunamlipa hivyo. Tutaelewa. Usimfananishe na CEO wa Google etc., for NHC si Google. Au unafikiri NHC=Google kwa kuwa Sundar Pichai na Nehemia Mchechu wote ni ma-CEO?
Anapokea mshahara mkubwa kutokana NA makubaliano NA mkataba aliofikia wakati anaajiriwa ??? Simple ....Kama alikuwa poached toka private sector alikokuwa analipwa 25 million ....unategemea ahamie NHC akalipwe milioni 2 Kama kina DC Makonda ??
Kama unaona wanaendelea kuwa naye kwa mshahara huo ujue .....bodi ya wakurugenzi wanaridhika NA huduma yake !!
Mwaka Jana kulikuwa NA Sakala la mkurugenzi wa TIC ambaye NI mtanzania aliyekuwa akifanya kazi nje ....amekaa miaka miwili hajapokea mshahara kwa kuwa walikubaliana alipwe mshahara Kama alikokuwa akifanya kazi ....walipotaka kumlipa kwa scale zao ...akagoma kuchukua salary ...HADI muafaka Ufikiwe ...sijui imefikia wapi..
Ukiwa msomi NA una uwezo wa kazi NI lazima ujiamini ....don't settle for less .....!!!!!
MTU kasoma Harvard au vyuo Classic Mfano Ada usd 50'000 kwa mwaka ...kwa miaka 3 au 4 ...Bodo masters miaka miwili ....almost Dola 600,000 higher learning hapo hujaweka primary NA secondary ........akipokea mshahara wa milioni 2 ...unafikiri Kama alichukua mkopo wa elim atalipaje....,
Unapoajiri mtu huangalii degree tu Bali PIA unaangalia exposure ....
Nimekuwa nafuatilia mjadala hasa wa Rais Mtukufu bwana Magufuli kuhusu mishahara ya watumishi kuwa mikubwa.
KIMSINGI Nadhani rais ana nia njema ya kujenga moyo wa uzalendo kwa watu ili watangulize maslahi ya Taifa kwanza na yao binafsi yaje baadae.
Tatizo langu nikwamba watu wengi tumejikita zaidi kumshambulia Nehemia Mchechu CEO wa NHC. Eti tu kwa kiwango tunachokiita kikubwa cha mshahara wa M35. Wengi wetu hatuzungumzii Mchechu alikutoka alikuwa analipwa 26M.
Na alianza project ya kujenga nyumba akiwa kwenye taasisi yake ya zamani. So serikali iliona atafunika NHC zaidi kwasababu ni wazi shirika lilishakuwa kinapumulia mipira.
NHC kifupi ikishakaribia kufa Bwana Mchechu hakuomba kazi NHC serikali ilimfuata. Mchechu amefanya kazi kubwa sana NHC ukilinganisha na ilivyokuwa mwanzo. Mchechu anastahili kulipwa zaid ya hapoo.
NHC ni shirika la 3 now kwa Ubora wa mashirika ya Nyumba africa lakwanza NHS ya SA yapili Ethiopia na Tatu Tanzania. Sasa mnataka huyu kijana wa watu afanye nini? Watu wanaongea hoja ya nyumba za NHC kuwa za bei kali sio za watu wa hali ya Chini.
Thats true but we have to know kwamba Sera ya NHC haijawahi kuwa na sera hiyo ya nyumba za bei nafuu kwa watu wa Hali ya Chini. Hakuna mahala popote NHC iliwekwaa kwaajili ya kujenga makazi ya Wanyonge.
So kama kuna watu tunahitaji NHC iwe ya wanyonge ni kuwakumbusha watunga Sera wetu wakabadili sera ya NHC kuacha kujiendesha kibiashara. Mchechu hata kwa hako ka M30 anatuhurumia tuu.
Wenye vyeo kama chake huko kwenye taasisi aliyotoka sasa hivi wanakula mpaka M75. Ifike mahali tusisukumwe kwa wivu pekee juu ya Mchechu tuache wivu tumuache afanye kazi.
Hapo ATCL pameoza na hakuna anayestahili kulipwa chochote... Sasa wewe kwa akili yako anafananisha ATCL na NHC??unachotaka awabembeleze sindio mchukue pesa unasema password ilipotea muambiwe pole kwa vile mnaakili. kama mnaona nyinyi ni bora kuliko hata makatibu wakuu basi kazi sana. Cha maana cha kufanya ni kutuambia kwanini ATCL wasifukuzwe au huyo mchechu anaingiza ngapi ili alipwe 35M? basi hilo tuu