Tuache ushabiki wa vyama: Nani bora kwetu, kati ya Lema na Monaban - Arusha Mjini

Ni Bilionea Wa Arusha Anamiliki Makampuni Kazaa Yanayogawa Ajira Kwa Vijana Wengi Mjini Hapa Pia Anashiriki Katika Kutoa Misaada Mbalimbal Ya Kijamii Mkuu

Huu ndio upuuzi ambao unanifanya niichukie Ccm kuliko kitu chochote na wagombea wake.
Yaani mmefirisi viwanda vyingi kama vya mkonge, General tyre, Shirecu n.k vijana wakakosa ajira ili waje kuwa watumwa kwenye makampuni yenu ya kifisadi. Leo mnataka kutumia hilo gape kupatia madaraka! Bado mmeharibu mfumo mzima wa elimu ili wanetu warndelee kulamba zero wa kwenu wako ughaibuni na baadae tukawe watumwa wao!!

Hata ashuke malaika, ama Yesu ama mtume Muhammad S.A.W akagombea ccm hakyaMungu simpi kura yangu, sembuse huyo unaemsema!!
 
Hapa huna hoja bali umekuja na zilezile propaganda za kizee kwamba mbunge ndio analeta maendeleo. Na kwa jinsi ulivyoanzisha hii mada ukitegemea watu watakuunga mkono lakini kwa kadiri uzi unavyopata wachangiaji ukiacha wale wenzio wenye hoja za kidini, kikabila na kikanda umejikuta huna cha kusema zaidi ya kurudia mistari ile ile ya kiccm. Nikuulize mbunge anakaa na fedha za maendeleo ya jimbo lake? Unaweza ukatuambia yeye mbunge kama mbuge anapewa shilingi ngapi kwa ajili ya mfuko wa maendeleo ya jimbo? Tusiende mbali hapo monduli mbunge ni EL miaka na miaka na huwa anajisifia eti ni mtu wa maendeleo na maamuzi magumu, hebu tupe tofauti ya kimaendeleo iliyopo kati ya jimbo la Lema na EL kama wabunge katika maeneo yafuatayo ukionyesha wapi kuna huduma bora zaidi yaani Monduli V/s Arusha mjini

  1. Mashule
  2. Hospitali
  3. Barabara
  4. Umeme
Ukiweza kunitolea mfano na wapi
Sasa Arusha Na Mondul Wap Na Wap Kinondoni Na Singida Mash.Wap Na Wapi Lisu Na Azan Nan Bora?
 
Huu ndio upuuzi ambao unanifanya niichukie Ccm kuliko kitu chochote na wagombea wake.
Yaani mmefirisi viwanda vyingi kama vya mkonge, General tyre, Shirecu n.k vijana wakakosa ajira ili waje kuwa watumwa kwenye makampuni yenu ya kifisadi. Leo mnataka kutumia hilo gape kupatia madaraka! Bado mmeharibu mfumo mzima wa elimu ili wanetu warndelee kulamba zero wa kwenu wako ughaibuni na baadae tukawe watumwa wao!!

Hata ashuke malaika, ama Yesu ama mtume Muhammad S.A.W akagombea ccm hakyaMungu simpi kura yangu, sembuse huyo unaemsema!!

haa haa duh mbavu zangu mie.
 
Huyo monaban kwan keshapitishwa na chama

Wooote wawili (MONABAN & LEMA) Wanaomba na kutafuta RIDHAA ya kuongoza jimbo la Arusha mjini kutoka kwa VYAMA vyao na WANANCHI.

TUTAWAPIMA KWA KAZI ZAO NA SIO MISISIMKO ISIYO NA MATUNDA.
 
Ni Bilionea Wa Arusha Anamiliki Makampuni Kazaa Yanayogawa Ajira Kwa Vijana Wengi Mjini Hapa Pia Anashiriki Katika Kutoa Misaada Mbalimbal Ya Kijamii Mkuu

Akili zako zinahitaji msaada . Kama anaotoa misaa kwa nini asiendelee kutoa misaada na hizo ajira na akaacha wengine wakafanya yao ? Yeye ni biz man anataka nini kwenye siasa ? Si mtumishi tayari aendelee kutumikia maana nazo ajira anatoa na waajiriwa wanamfanya kuwa bilionea shida wai ?
 
Tatizo Lako Wivu Unakusumbua
 
kwani mzee ndesamburo ana makampuni mangapi hadi uingereza na ni moja kati ya wabunge waloleta sana maendeleo jimbon kwake mfano mzuri aliwanunulia manispaa ya mosh burudoza la sh 1bls kwa pesa yake mwenyewe achen kukomaa kaeni kichuga chuga
 
Lema wala hana haja kupiga kampeni, atuambie nini sasa wakati kazi ameimaliza? Yeye anatakiwa apange ratiba kwenda kukomboa majimbo ya jirani yaliyo chini ya CCM kama monduli, siha, mwanga, simanjiro, babati na same. Watu wa arusha hawana njaa kusema watanunuliwa kwa kanga na unga wa monabani. Mwepesi sana huyu chalii.
 
Ila hapo kamanda umekosea kidogo toa kabisa kwa Lisuu. Unajua kwamba Lissu kwenye serikali za mitaaa ndio kiongozi wa Upinzani pekee ambaye ameshinda kwa kishibndo uchaguzi vijiji 41 kati ya 43 na kuwaachia magamba vijiji 2 tu hakuna kama Lissu upinzani na atashinda kwa kishindo sana uchaguzi ujao

Kwa Singida usijiaminishe lolote, nguvu kubwa sana itakuwepo kwenye uchaguzi mkubwa kuliko ilivyokuwa serikali za mitaa.

Kama tukiwapanga wabunge wa Chadema kwa uwezekano wa kushinda tena basi uwezekano ata wa Mnyika, Mdee, Wenje,Sugu na Msigwa kushinda ni mkubwa zaidi kuliko Tindu Lissu, usiiwekee dhamana kabisa Singida, nguvu kubwa na pesa nyingi zikipelekwa kule wala haitashangaza kabisa Tindu Lissu kushindwa, eneo bunge pia linahusika sana kuliko uwezo wa mtu.

Ila kati ya maeneo mvua ije au jua liwake matokeo yatabaki vilevile ni Arusha
 
Naona unaomba kumjua philemoni vizuri.
Nenda pale ngulelo ulizia utapewa taarifa zake au pale Soko Kuu mlango wa kuku utapewa taarifa zake.

Anamiliki makampuni yaaapi?

Kuzungusha ukuta eneo la Reli pale Unga ltd kwa wizi wa Lowassa NMC ndiyo anamiliki makampuni?

Nilikwambia lastime ameshindwa kumjali mama yake pale ngulelo still anauza ndizi makuunduu ndiyo atakuja kujua namna ya kuwapigania wana chuga?

Unazeeeka mzeee, hufai wewe, unawayawaya wewe

Mwambie huyo hata mm ningependa kuona hayo makampun anayomiliki nikaombe kazi
 
Hii Ni Kweli Na Kashafanikiwa Kuwafanya Wanarusha Kukomaa Hadi Mwisho Lakini Sasa Maendeleo Ataleta Nani

Tunataka kwanza mabadiliko then
maendeleo yatafuata kwanza arusha tupo vizur sana ninaendeleo yapi mnataka we unafikir miaka mitano inatosha lema kajitahid sana jaman anastahil pongezi
 
Mwambie huyo hata mm ningependa kuona hayo makampun anayomiliki nikaombe kazi

Hana Kampuni yoyote huyu Philemoni, huyu kawekwa na Lowassa hilo liko wazi.
Wamechukua eneo la TRC arusha wamezungusha ukuta eneo lote na National milling corporation wanaimiliki (shirika la umma hili) Leo anaitwa bilionea anayetoa ajira?
Paaambaafu
 
Umesahau kusema ameanza kuiba mali za umma kabla hajapata madaraka. Akipata utakuwaje?? Uwanja wa reli kajibinafsishia kama mali yake. Akiwa mbunge si atajibinafsiahia ofisi yamkuu wa wilaya?? Hebu kuweni na maono acheni ubinafsi. Nahongwa kilo ya sembe mnamsifia mwizi?? Aibuuuu

Hahahaaaaa
 
Hana Kampuni yoyote huyu Philemoni, huyu kawekwa na Lowassa hilo liko wazi.
Wamechukua eneo la TRC arusha wamezungusha ukuta eneo lote na National milling corporation wanaimiliki (shirika la umma hili) Leo anaitwa bilionea anayetoa ajira?
Paaambaafu

Mh makubwa
 
Mh makubwa

Liko wazi mkuu, eneo la TRC wamefanya carwash na sehemu ya kupaki fuso zao aliye chuga atakujuza vizuri mwambie aende Unga ltd na umuulize hilo jina na unga ltd limetokea wapi atakujuza.

Monaban ni Kampuni yao ya usafirishaji ila jamaa anaitwa Philemoni, alikuwaga anauza kuku soko Kuu la chuga kuna mlango maarufu kwa kuuza kuku hapo Soko Kuu unaitwa 'mlango wa kuku' uliza hapo utapewa info zake
 
Mi niwaambieni kitu....kama.mnaweza hebu tupeni ahadi za lema vs utekelezaji 2010-2015... mi naamini wana arusha mtakuwa.na nafasi.nzuri sana ya kujadili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom