Tuache ushabiki wa vyama: Nani bora kwetu, kati ya Lema na Monaban - Arusha Mjini

Kama ni hivyo anataka nini sasa? Si aendelee kuwa saidia wana Arusha ktk utaratibu huo alianzisha.Bado hajawatosheleza wahitaji.Siyo lazima awe mbunge ndo aonekane anaisaidia jamii, vinginevyo ni kutafuta mwamvuli wa kukwepea kodi maana tunaona wafanya biashara wakubwa kama yeye wanakimbilia CCM kwa lengo hilo.

mkuu hapo umenena vema sisi na lema wetu na cdm yetu
 
Wakuu Wana Wa Arusha Nadhani Lema Tumemjua Na Wengi Mnamjua Mtangaza Nia Huyu Kupitia Chama Magamba Tukiacha Chama Ambacho Arusha Nzima Tunakichukia. Je, Huyu Monaban Si Mwema Kwetu?

Maoni Yetu Yawe Na Kipaumbele Cha Maendeleo Ya Jimbo Si Uhafidhina Wa Chama.

Kama ni ukubwa wa kitambi basi bila shaka monaban ana kitambi kikubwa kuliko lema .
 
Mi naona lema ndo anafaaa kumbuka kapata misukosuko mingi sana. Ila kaja na neema tunampenda sana lema
 
Wakuu Wana Wa Arusha Nadhani Lema Tumemjua Na Wengi Mnamjua Mtangaza Nia Huyu Kupitia Chama Magamba Tukiacha Chama Ambacho Arusha Nzima Tunakichukia. Je, Huyu Monaban Si Mwema Kwetu?

Maoni Yetu Yawe Na Kipaumbele Cha Maendeleo Ya Jimbo Si Uhafidhina Wa Chama.

Godbless J. Lema 4ever, hatuna haja na mtu anasaga mabua kisha anatuuzia eti ni DONA; Unga wenye virutubisho maridadi!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom