Tuache unafiki tuseme ukweli


Hakuna popote nilipozungumzia kuhusu matunzo mkuu,nimesema mke ukiwa nae lazima umchoke!wewe unaweza ukafunga safari kutoka Dar hadi Kilimanjaro ukaone mlima lkn mtu wa Kilimanjaro anakuona ndezi
 
Hata nyie huwa tunawachoka sema tunaishi na nyie kwa kuwavumilia tu siku ziende mbele, na pia ka ulimpendea ngono lazima uchoke tu, Mimi kwa umri wangu na yote niliyopotia hamna jipya Bora utulie na mtu anayekuelewa na kukuheshimu

Yes!sema sisi wanaume ndio huwa tunawachoka zaidi
 

Tatizo sio chaguo mkuu,kuna kipindi hata umuoe beyonce lazima utamchoka tu
 
Hapo ndipo utaona faida ya kuwa na mke zaidi ya mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…