Tuache unafiki tuseme ukweli

Hata nyie huwa tunawachoka sema tunaishi na nyie kwa kuwavumilia tu siku ziende mbele, na pia ka ulimpendea ngono lazima uchoke tu, Mimi kwa umri wangu na yote niliyopotia hamna jipya Bora utulie na mtu anayekuelewa na kukuheshimu
 
Hata wewe anakuchoka mkuu

"At every action there is equal and opposite reaction"
 
Hata nyie huwa tunawachoka sema tunaishi na nyie kwa kuwavumilia tu siku ziende mbele, na pia ka ulimpendea ngono lazima uchoke tu, Mimi kwa umri wangu na yote niliyopotia hamna jipya Bora utulie na mtu anayekuelewa na kukuheshimu
Una umri gani
 
Umemaliza kila kitu. Mwenye masikio na asikie.
 
Hii ni kweli aisee ndio maana mashemeji hawachoshi maana hupigi kila siku ni mpaka chance ipatikaneπŸ˜‚
 
Wee jamaa kama umeoa basi hakuwa chaguo lako. Mazingira, utoto au kukosa umakini ulipelekea kuangukia kwa huyo! Mke wako ni kama mwili wako mwenyewe! Utachokaje mwili wako? Mke wako unammiss kila dakika! Lazima ujue yuko wapi na usalama wake! Zaidi ya yote lazima awepo kitandani wakati wa kulala 'that is where she belong'. Wale wanaowachoka wake zenu jua kuna mahali mmekwama
 
Sure, wanawake ni Tunu. Tuwajali na kuwatunza.
 
Hata nyie huwa tunawachoka sema tunaishi na nyie kwa kuwavumilia tu siku ziende mbele, na pia ka ulimpendea ngono lazima uchoke tu, Mimi kwa umri wangu na yote niliyopotia hamna jipya Bora utulie na mtu anayekuelewa na kukuheshimu
Eti huwa mnatuchoka ee booo!!!, Wakati huwa mnatulilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…