Tuache siasa uzalishaji wa makaa ya mawe ni tani elfu 35 na mahitaji ni zaidi ya elfu 71 kwa mwezi

Hv nani wamemilikishwa huu mgodi inawezekan. Kuna maslai binafsi ya watu kuna lile sakata la kiwira liliishia wapi kuhusu watu flani kujimilikisha huo mgodi wa makaa ya mawe...........
hapo ndipo ulipo mzizi dawa
 
Mgodi wa makaa haukuanza zamani sana kuchimbwa kibiashara toka enzi za vichwa vya treni vya maji (steam engines). Kwa hiyo tusitegemee jana na leo tukiamka tuwe tumetosheleza mahitaji kama vile tuna taa ya Aladin.

Makaa yanachimbwa na kila siku yataongezeka na Alhaj Dangote kaahidi kusaidia (kibiashara) sehemu zote anazopatia mali ghafi ya kuendesha miradi yake.

Ni Waziri tu anaehusika na nishati apalilie njia vizuri ili mambo ya speed up.
 
Hizi ndio fursa badala ya kulia lia hapa, kaombe leseni, chukua mkopo benki na wewe ukachimbe. Yaani serikali inajaribu kulinda ajira za WaTz ila kuna minyumb.u haithamini, kazi yao ni kupinga pinga, kukejeli na dharau.
KATAA KUWA NYUMB.U
 
Magazeti Mengine ni ya wapumbavu, ambayo hawajui wanachokiandika, hao hao waliandika Dangote anafunga mgodi, JPM kamuita na ameeleza banana kila kitu, wakaumbuka sasa wameamua kutafuta ajenda zao. Uziri Serikali inatambua nani yupo nyuma ya hao na JPM alisema wazi kuwa vyombo vya dola vianze kuwafuatilia.

Hata hilo Gazeti mnajua ni la nani, la nchi gani na Mhariri wake anatokea wapi, anajulikana ni Mtu wa dili Maana anaandika vitu bila hata ktafakari kama vina ukweli, yeye akishahidiwa na hao vibaraka anakurupuka.
 
Nilikua mkoa wa Ruvuma wiki mbili zilizopita, kuna kampuni zaidi ya tatu zinafanya exploration ya coal na mpaka sasa wamegundua sehemu kibao zina makaa ya mawe mengi sana. Pale Ruanda wanapochimba coal kwa sasa pana makaa ya mawe mengi sana yaani mpaka njiani ukipita ukichimba tu na jembe unayaona mengi. Hapo nn kifanyike, Serikali iongeze uzalishaji kwa kua mahitaji ni makubwa na makaa ya mawe tunayo ya kutosha hiyo ni fursa pekee ya serikali kupiga hela. Kuna makampuni kutoka kenya yanakuja pia kuchukua coal pale Kitai. Serikali iwekeze huko tupige pesa tusafirishe mpaka nje ya nchi uchumi wetu utakua sana na thamani ya shilingi yetu itaimarika sana
 
Kuna uwezekano Tz siasa inatengeneza wajinga wengi kuliko hata miundo mbinu mibovu ya elimu. Kijana mzima analalamikia serikali inajaribu kulinda ajira za ndani, anafurahia tuingize nchini hata vitu tunavyoweza kuzalisha, na unaweza kukuta ana shahada ya chuo kabisa huyo. Upinzani wa aina hii hauna faida yoyote kwa Taifa bora kibaki chama kimoja tu.
 
Nilitegemea useme kiasi tulicho nacho cha makaa ya mawe ni kidogo kuliko mahitaji !!?
Magazeti mengine ni yakupita wima tu
Uandishi wa kupinga,kubeza na kuzusha wao ndio kazi yao.

Nisuala la kuongeza uzalishaji kulingana na ongezeko la mahitaji

Magazeti mengine yanatumika na wapiga dili ili kuikandamiza serikali ya JPM. Hii ni fursa ya serikali kuwekeza zaidi katika uzalishaji badala ya kuanza kutoa malalamiko kuwatetea wapiga dili
 
Nilikua mkoa wa Ruvuma wiki mbili zilizopita, kuna kampuni zaidi ya tatu zinafanya exploration ya coal na mpaka sasa wamegundua sehemu kibao zina makaa ya mawe mengi sana. Pale Ruanda wanapochimba coal kwa sasa pana makaa ya mawe mengi sana yaani mpaka njiani ukipita ukichimba tu na jembe unayaona mengi. Hapo nn kifanyike, Serikali iongeze uzalishaji kwa kua mahitaji ni makubwa na makaa ya mawe tunayo ya kutosha hiyo ni fursa pekee ya serikali kupiga hela. Kuna makampuni kutoka kenya yanakuja pia kuchukua coal pale Kitai. Serikali iwekeze huko tupige pesa tusafirishe mpaka nje ya nchi uchumi wetu utakua sana na thamani ya shilingi yetu itaimarika sana
Ndugu, hii ni fursa kwa WaTz wote ambao wana mitaji mikubwa au wana ufahamu mzuri wa uchimbaji wa makaa ya mawe. Serikali imeshafanya kazi yake ya kulinda soko ni sisi wananchi kujiongeza sasa.
 
Kila kitu kinachangamoto zake ni vyema kutoa ushauri badala ya kulaumu.

Tatizo la nchi hii ni siasa za maji taka.
 
Wachimbaji wasingeweza kuendelea kuchimba makaa mengi bila ya kuwa na wateja wa uhakika,uwezo upo na vifaa vipo,tatizo lilikuwa ni wateja wa uhakika.Si unajua maswala ya operating costs!Sasa zimekuja gari 600 kwa ajili ya kusomba ndio utagundua kuwa uwezo upo.
Sio kweli ,
 
Magazeti Mengine ni ya wapumbavu, ambayo hawajui wanachokiandika, hao hao waliandika Dangote anafunga mgodi, JPM kamuita na ameeleza banana kila kitu, wakaumbuka sasa wameamua kutafuta ajenda zao. Uziri Serikali inatambua nani yupo nyuma ya hao na JPM alisema wazi kuwa vyombo vya dola vianze kuwafuatilia.

Hata hilo Gazeti mnajua ni la nani, la nchi gani na Mhariri wake anatokea wapi, anajulikana ni Mtu wa dili Maana anaandika vitu bila hata ktafakari kama vina ukweli, yeye akishahidiwa na hao vibaraka anakurupuka.
FB_IMG_1481517782733.jpg
 
Hivi yule mzee alishanyanganywa ule mgodi wa makaa ya mawe yeye na mkewe?

Tanzania ya viwanda haitawezekana kamwe,sasa ni wazi kwamba hata wakuu wameshindwa kulitolea maamuzi ya haraka suala la nishati,nilitaraji mkuu mwenyewe atoe wiki moja au mwezi dangote awe kafikishiwa gesi kwenye kiwanda chake ambacho kiko kilomita mbili tu kutoka gesi inapozalishwa.

Kasi iliyotumika kwenye mambo mengine kama utumbuaji mbona haionekani huku?
mbona jambo dogo tu kuagiza gesi ipelekwe? au ule.mgodi wa makaa ni wa nani?
Hivi we dogo uongo uongo utakusaidia nini?

Mbona gesi bomba ndio linafungwa sasahivi kuelekea kiwandani kwake.. Mnataka kila kitu mfatwe chumbani kwenu muambiwe
 
Sijakataa shida aluyepewa mgodi hana uwezo na hataki kukubali kuwa uwezo mdogo
Wewe lofa na mpumbavu mgodi huchimba makaa ya mawe kutokana na mahitaji....
Mgodi unao uwezo wa kutoa makaa ya mawe kutokana na mahitaji hivyo hizi taarifa zako za kizushi zimeshakwama kabisa tafuta zingine.....hao mwananchi wako nao ni wapumbavu na malofa....
 
Kuna uwezekano Tz siasa inatengeneza wajinga wengi kuliko hata miundo mbinu mibovu ya elimu. Kijana mzima analalamikia serikali inajaribu kulinda ajira za ndani, anafurahia tuingize nchini hata vitu tunavyoweza kuzalisha, na unaweza kukuta ana shahada ya chuo kabisa huyo. Upinzani wa aina hii hauna faida yoyote kwa Taifa bora kibaki chama kimoja tu.
Huyo kijana ni mchawi?
 
Na ulivyo andika as if we won't have such amount of tonnes......Wakati mwingne muwe mna kaa kimya tu si kila kitu nyie ni kutaka kikwame tu

Haya machedemu bana!! Wao ni kuombea tu mkono ukatike wauokote, watasubiri sana kama fisi
 
Back
Top Bottom