Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Sasa hapo hatutakiwi kulialia.Data hizo sasa tujadiliane nini kifanyike?
1. Yawezekana kampuni za uchimbaji zimepewa mgodi kirafiki hawana vifaa vya uchimbaji.
2. Hatuna wataalamu wa kuendesha sekta ya madini.
3. Gharama kubwa ya uchimbajiView attachment 445180
I solve....Hiyo ishu bado haijawa solved
Nini mantiki ya kuzuia uagizaji makaa Africa Kusini kabla uzalishaji kuongezeka? A case of putting the cart before the horse.Nilitegemea useme kiasi tulicho nacho cha makaa ya mawe ni kidogo kuliko mahitaji !!?
Magazeti mengine ni yakupita wima tu
Uandishi wa kupinga,kubeza na kuzusha wao ndio kazi yao.
Nisuala la kuongeza uzalishaji kulingana na ongezeko la mahitaji
cha ajabu gesi iko kilometa mbili tu kutoka kiwanda cha dangote!Kuna umbali mkubwa kutoka sehemu makaa ya mawe yanapochimbwa na yanapopakiwa.
Kampuni haina vifaa vya kisasa vya kusafirisha hayo makaa ya mawe kutoka sehemu yanapochimbwa mpaka yanapopakiwa.
Kumbe bado unang'ang'ania Uzushi uleee!!!Nini mantiki ya kuzuia uagizaji makaa Africa Kusini kabla uzalishaji kuongezeka? A case of putting the cart before the horse.