Dibwi Method
Member
- Nov 22, 2021
- 31
- 28
haya ndiyo mambo ya msingi ya kuhoji. majitu na akili yanampeleka kijana bungeni eti shujaa! He was not alone in the whole saga and a sensible man can not trust his story without having some questions! Tusiwe madodoki kumeza maneno ya majaliwa as if hatuna akili za kuhoji. Ni kuacha ujinga wa kumtukuza Majaliwa tuhoji kwanini mamlaka za serikali za uokozi zilizembea.Nilitegemea kuona sauti zikipazwa ili viongozi wanaoguswa moja Kwa moja na uokozi wawajibishwe. Ngege haikuanguka katikati ya Ziwa, pale ilipoanguka sio mbali sana na Bandari, Airport, Makazi ya Mkuu wa Mkoa, n.k. Kushindwa kwao kufika Kwa wakati na kuokoa watu ndo taarifa iliyopaswa kutawala maandiko mengi ili wawajibishwe.
Dogo anakutesa sana!haya ndiyo mambo ya msingi ya kuhoji. majutu na akili yanampeleka kijana bungeni eti shujaa! He was not alone in the whole saga and a sensible man can not trust his story without having some questions! Tusiwe madodoki kumeza maneno ya majaliwa as if hatuna aili za kuhoji. Ni kuacha ujinga wa kumtukuza Majaliwa tuhoji kwanini mamlaka za serikali za uokozi zilizembea.
WIVU TU MWACHENI DOGODogo anakutesa sana!
Sikushangai maana wewe ni dodoki , unameza kila kitu! Mara Mheshimiwa Mungu , mara nimetoka jalalani....wote hao ni CCM including youDogo anakutesa sana!
Ulitaka zawadi apewe dada Temba!Sikushangai maana wewe ni dodoki , unameza kila kitu! Mara Mheshimiwa Mungu , mara nimetoka jalalani....wote hao ni CCM including you
whoever! I am not after zawadi. Sitaki kuwa dodoki na praise and worship team! Ni hilo tu!Ulitaka zawadi apewe dada Temba!
Umesema kweli tupu! Nchi hii imejaa majinga mengi Sana na maviongozi mengi ni majinga pia.Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita.
Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu ambalo Sidhani kama kuna yeyote humu angeishia kutazama ajali hiyo na yuko kwenye nafasi ya kusaidia.
Hii trend ya kuwa na heroes waliookoa watu ni ka-mchezo tu Serikali inacheza ili kuwatoa watu kwenye reli ili wasijadili mambo ya msingi ambayo kama sauti zingepazwa vyema, vibarua vya baadhi ya viongozi vingeota mbawa.
Binafsi nilitegemea kuona maandiko na mijadala ya kutosha yakimsuta yule Mtu aliyezuia kuvunjwa kwa kioo cha ndege kwani kama ingefanyika hivyo, huenda idadi ya waliookolewa ingezidi 24.
Nilitegemea kuona sauti zikipazwa ili viongozi wanaoguswa moja Kwa moja na uokozi wawajibishwe. Ngege haikuanguka katikati ya Ziwa, pale ilipoanguka sio mbali sana na Bandari, Airport, Makazi ya Mkuu wa Mkoa, n.k. Kushindwa kwao kufika Kwa wakati na kuokoa watu ndo taarifa iliyopaswa kutawala maandiko mengi ili wawajibishwe.
Inaumiza sana kuona Kwa siku chache zilizopita watu wanawekeza nguvu nyingi kuibua watu waliosaidia ili tu wasaidiwe au watambulike..it makes no sense!! They played their part as human beings because they were in a position to. Kindness should neither be for recognition nor for monetary reasons.
Hii ni sinema inayochezwa na baadhi ya wenye mamlaka ili tusijafili adhabu stahiki na CHANZO kilichopelekea vifo vya watu 19 kizembe.
The spotlight game ain't worth playing, let's focus all our efforts on making those responsible, pay for their wrong misdeeds.
Naamini waliopoteza ndugu zao wangependa kuona walioshindwa kufanya kazi zao kwenye usaidizi wakiwajibishwa, TUACHE yada-yada na tushike mambo ya msingi ili haki itedeke!
Wanafikiria Kwa ajili yakeSikushangai maana wewe ni dodoki , unameza kila kitu! Mara Mheshimiwa Mungu , mara nimetoka jalalani....wote hao ni CCM including you
Sitegemei mhaya kama wewe uwe na very low reasoning like this! Humu JF hatujuani, utasemaje dogo?WIVU TU M
WIVU TU MWACHENI DOGO
Amenena vyema sana, badala ya mtu kuusikiliza vyema uchambuzi huu ambao ni Kwa manufaa yake na kizazi chake ili aongezee na reasoning yake, yeye yuko busy kupinga Kila kitu kisa tu hakiemdi sambamba na zidumu fikra za CCM.whoever! I am not after zawadi. Sitaki kuwa dodoki na praise and worship team! Ni hilo tu!
sikiliza mwenye akili akihoji:
Wananchi wako busy kushangilia 'mashujaa: badala ya kuhoji juu ya mustakabali wa waliozembea mpaka roho 19 zilizopotea!Ni kweli kabisa! Kwa mfano Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ilichukua muda gani kuchukua hatua toka kupatikana kwa taarifa za Ndege kuanguka pale?
Kabisa kaka, waliopoteza ndugu zao ndo wanaoumia zaidi Kwa mizaha ya namna hii!Dahhh! Bro umeona mbali sana michezo kama hii inachezwa sana ili kuwahamisha watu kutoka katika point ya msingi na kuufuata porojo hatimaye wazembe wanapata kichaka Cha Kujificha