Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Nadhani sasa ni utoto kila timu zetu zinaposhindwa ugenini hasa Uarabuni kusingizia hali ya hewa.
Nchi yetu bahati Mwenyezi Mungu katupa sehemu zenye joto na baridi pia sasa kama timu inakwenda nje kwenye baridi kwa nini isiweke kambi sehemu za baridi?
Nasema ni utoto kuanza kufikiria hali ya hewa kama chanzo cha kufungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app