Tuache masikhara kwenye jukwaa hili la love connect

Hahah huko ni kimya kimya shosti,hata ukikutana na mtu unayemfahamu mnapishana kama hamjuani.ni kama ule msemo wa what happens in vegas stays in vegas

Alafu ndo tuseme ile ndoano yangu hujaiona ama ndo unadankidanki tu.
Ama huko ni kuzuri. Itabidi nikutafute kwa muda wangu ukanioneshe hilo chimbo jipya la mjini!
Ndoano yako imemezwa na chambo chake!
 
Ama huko ni kuzuri. Itabidi nikutafute kwa muda wangu ukanioneshe hilo chimbo jipya la mjini!
Ndoano yako imemezwa na chambo chake!
Wewe tu.ila uje tu na nauli yako ntakuzungusha chocho zote.
Daah sio kesi acha ntengeneze ndoano nyengine,nchi hii bila kufosi kingi mambo hayaendi,ngoja niendelee kusubiri kuokota dodo chini ya mwarubaini
 
Nalaani vikali sana vitendo hivyo vya baadhi ya wana New Member wa jukwaa hili. Naagiza mamlaka huska zichukuwe hatua Kali za kisheria
Tatizo hili sio kwa new members tu! Wapo ma senior members wenye tabia za hovyo huwezi amini.
 
Hahah huko ni kimya kimya shosti,hata ukikutana na mtu unayemfahamu mnapishana kama hamjuani.ni kama ule msemo wa what happens in vegas stays in vegas

Alafu ndo tuseme ile ndoano yangu hujaiona ama ndo unadankidanki tu.
hahaha
kuna mtandao flan hivi nilimkuta sista mmoja alikuwa anajifanya yeye hana time na wanaume, hahaha nilimcheka kimoyo moyo nikamuacha tu.
nilitaka nimchokoze ka date ka kumzongua nikaona siyo poa
 
Wanaume wengine waharibifu wameoa halafu waongo wakiona tu mwanamke kapost kutafuta mchumba yy wa kwanza unakuta anatongoza madem wote halafu anauchubua kila atakayekubali ni haki yake analamba tu! badilikeni humu si pa mchezo mchezo!!yaani anamtongoza kila aliyeweka post,humu walio serious tuko wachache sana!
 
hahahahaa
wengine ujue asili zetu ni kama tuko hivo, sema mi naona si vema ku give up mapema before hamja meet ukute ni mgum kwenye msg ila mlain kimatendo, give us a chance jaman
Mlaini kimatendo!!
Mmh!
 
Mi sidhani kama wanaotafuta humu huwa wako sirias... KWELI unafuta gizani mchumba mtu namaanisha Mke au Mume wa Baadae you cnt be serious..
 
mi humu ni mgeni lakini kuna mambo kiukweli yamenichukiza tena sanaa

najiuliza wewe kama unakuta mwanaume mwenzio kapost humu anatafuta mpenzi/mchumba kwa vigezo vyake...we kinakukera nini?

unakuta lijitu limeng'ang'ana kucomment kumpinga au kumvunja moyo mwenzie

tena anakereka kweli; anacomment hata mara 5, na ukiangalia/ukisoma hiyo post hata haimuhusu!

embu tuache kujiaibisha wanaume! usiwe na muwasho usiokuhusu!

watu wengine wapo serious humu..na sio kama ukiona mtu amepost anatafuta mpenzi/mchumba humu umuone muhuni; ajielewi au amekosa kazi!

jitambue; jiheshimu! usikurupukie visivyo kuhusu!
 
yaah upo sawa mkuu... ila kuna muda mwingine pia watoa mada nao wanakera.. unakuta mtu anatafuta mpenzi halaf vigezo eti awe chini ya miaka 15 sasa si ubakaji huo.... hapo mi nakufokea sana!!!!
 
uzi huu una mbinu kali ni werevu tu watainasa na kumchinja kobe inataka timing ya juu lakini pia ukitaka kuua inzi wengi tumia shombo la utumbo au sukari
haya kazi sasa jichuje
 
Wengi wa Hivyo wana Stress au hawajui nini Wanafanya Hapa Duniani.Cha ajabu anakerekaa but haishi kufungua Love Connect. Why wasipite kimya au wasifunguee.Au Simu au laptop zao zikifungukaa automatically zinafungua page hii?? Aisee UBASHITE ni jua kusoma Na kuandika.No reasoning.
 
Ni sawa.But wengine wapo safi Na wanafanikiwa..kama unavyojua positive kuna negative..but kama wapo..MTU unatoa no. Mwenyewe then unatukana.Ni wa kupimwa akiri.Ni ujinga.
 
Back
Top Bottom