Tuache masihara Simba Sc wanagonga mpira

🗣️ tangu October 29 sifatilii mpira mara nyie mmekomaa na mipira wakati nchi ipo kwenye hali ngumu " kumbe behind the wall ilikua ubovu wa Simba sasa hivi kila dakika nyuzi
 
Kwa iyo tumekubaliana Simba ni bora na Yanga ni mbovu si ndio???
Hapo mbele vilio vikianza tunaomba Mangungu na Gsm kuharibu ligi wasihusishwe..
 
🗣️ tangu October 29 sifatilii mpira mara nyie mmekomaa na mipira wakati nchi ipo kwenye hali ngumu " kumbe behind the wall ilikua ubovu wa Simba sasa hivi kila dakika nyuzi
Akina muhasibu Kipenzi Changu wamekusaliti.

Naona kwa watu wa simba aliyekomaa na msimamo wake ni Scars tu ndio simuoni kwenye mambo ya Simba na soka la nyumbani kwa ujumla.

Alisema ato deal na soka la ndani Ata deal na nje tu.

Wengine wengi wametusaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…