Man UTD imegoma katu katuNasikia mpaka Manchester United nayo imegoma kabisa π€£π€£π€£
Kumbe nawe chama kubwa?Hivyo sasa hivi ni mwendo wa kuingia youtube tu kurudia rudia magoli ya 5imba. Lol.
Aaah uzi wa Liverpool huwa sibanduki aiseee, kweli kutesa kwa zamu lakini Ushabiki wa Simba na Yanga ni zaidi ya vita vya Israel na Palestine π€£π€£π€£Daah! Tumekubali Mtani nyie tunyanyaseni tu.
Ila Ikifika zamu yetu musihamie siasani tu mana ndio zenu. Safari hii tutawafuata huko huko. π
Mtani huyo Man U si anaenda kujifia kabisa. π€£π€£Nasikia mpaka Manchester United nayo imegoma kabisa π€£π€£π€£
Una shabikia vyura, pole sana.Ndio Mkuu. Na najivunia.
Ila hii logo, mara netball mara ngumi. DaaahNdio Mkuu. Na najivunia.
Na mwenge juu,vurugu ni nyingi ila ule mwiko wameusahau.Ila hii logo, mara netball mara ngumi. Daaah
Yaani huwa ni zaidi ya vita kweli na ndo mana kuna wale wanaoenda mbali zaidi japo huwa siwakubali eti mtu kama ni Yanga basi humkuti akitumia kitu chekundu labda azidiwe.Aaah uzi wa Liverpool huwa sibanduki aiseee, kweli kutesa kwa zamu lakini Ushabiki wa Simba na Yanga ni zaidi ya vita vya Israel na Palestine π€£π€£π€£
Yah! Uko sahihi.Inatakiwa ubalansi hisia ma mihemko na ndio maana huwa nakaa kimasta
Iache ni yetu. πIla hii logo, mara netball mara ngumi. Daaah
Kuna uncle wangu ni Yanga lia lia na Brazil hatumii kitu chochote cha rangi nyekundu, hata mabasi ya rangi nyekundu huwa hapandi πππYaani huwa ni zaidi ya vita kweli na ndo mana kuna wale wanaoenda mbali zaidi japo huwa siwakubali eti mtu kama ni Yanga basi humkuti akitumia kitu chekundu labda azidiwe.
Mimi sio lia lia lakini kwa afya ya akili na moyo lazima kujibalansi aisee, kuna dada mmoja tulisoma naye primary huko, Mume wake alikufa siku ya ile mechi ya Azam na Simba , Simba anakufa 2-0 halafu yeye ni Uto πΈ Pro akawa analeta mizaha na kejeli nyingi mpaka anakera (ni simulizi ya mke wake ilitokea mkoani huko ) Sasa wakati anarudi nyumbani kapanda bodaboda kumbe walikuwa wanamsikilizia mashabiki aliokuwa anawakera wa Simba alivyoondoka tu mida ya saa 3 kuelekea saa 4 usiku maana walikuwa wanaangalia mpira Bar, wakaigonga kwa nguvu ile bodaboda ikatumbukia mtaroni na mitaro ni ile mirefi na mikubwa (barabara za Tanroad) alikufa yule jamaaYah! Uko sahihi.
Japo mbona si wengine tupo daily na tunajibalansi tu. Au wewe ndo wale lia lia sanaaa. π€£
Daah! Umeona sasa. Ushabiki huu wa Simba na Yanga ni habari nyingine.Kuna uncle wangu ni Yanga lia lia na Brazil hatumii kitu chochote cha rangi nyekundu, hata mabasi ya rangi nyekundu huwa hapandi πππ
Daah! So Sad ila walimfanyia vibaya sana aisee.Mimi sio lia lia lakini kwa afya ya akili na moyo lazima kujibalansi aisee, kuna dada mmoja tulisoma naye primary huko, Mume wake alikufa siku ya ile mechi ya Azam na Simba , Simba anakufa 2-0 halafu yeye ni Uto πΈ Pro akawa analeta mizaha na kejeli nyingi mpaka anakera (ni simulizi ya mke wake ilitokea mkoani huko ) Sasa wakati anarudi nyumbani kapanda bodaboda kumbe walikuwa wanamsikilizia mashabiki aliokuwa anawakera wa Simba alivyoondoka tu mida ya saa 3 kuelekea saa 4 usiku maana walikuwa wanaangalia mpira Bar, wakaigonga kwa nguvu ile bodaboda ikatumbukia mtaroni na mitaro ni ile mirefi na mikubwa (barabara za Tanroad) alikufa yule jamaa
Mashabiki wa simba mnanifurahisha sana.Ila hii logo, mara netball mara ngumi. Daaah
Yaani yule uncle kitu chekundu anachokipenda labda noti ya sh 10,000 tuDaah! Umeona sasa. Ushabiki huu wa Simba na Yanga ni habari nyingine.
Yule Dada kabaki mjane na watoto watatu, huu ushabiki wa hizi timu usikuzidi akili. Kuna jamaa yangu naye mke wake alikuwa Shabiki wa Yanga alishangilia sana ile 5-1 mpaka alizimika na akafaDaah! So Sad ila walimfanyia vibaya sana aisee.
Hahahaaa. Na hapo ukute ni vile hana namna tu ya kuishi bila kushika hiyo elfu 10.Yaani yule uncle kitu chekundu anachokipenda labda noti ya sh 10,000 tu
Yule Dada kabaki mjane na watoto watatu, huu ushabiki wa hizi timu usikuzidi akili. Kuna jamaa yangu naye mke wake alikuwa Shabiki wa Yanga alishangilia sana ile 5-1 mpaka alizimika na akafa
Hii game sitaisahau, mimi sio shabiki wa kunywa maji ya bendera ila nakumbuka nilienda kuangalia bar kwani nilikua na usongo nayo.Yaani yule uncle kitu chekundu anachokipenda labda noti ya sh 10,000 tu
Yule Dada kabaki mjane na watoto watatu, huu ushabiki wa hizi timu usikuzidi akili. Kuna jamaa yangu naye mke wake alikuwa Shabiki wa Yanga alishangilia sana ile 5-1 mpaka alizimika na akafa