Tuache masihara Simba Sc wanagonga mpira

Simba ya Barker ni ya moto sana 😍
Liverpool ya Iraola nayo ni ya maziwa na asali πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Gundu lipo kwa hii CCM tu 🀣
Daah! Tumekubali Mtani nyie tunyanyaseni tu.

Ila Ikifika zamu yetu musihamie siasani tu mana ndio zenu. Safari hii tutawafuata huko huko. πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…