Tuache kuvuta Bangi Jamani...

duuh kweli bangi mbaya,inakufanya uone kila kitu kidogo na una uwezo wa kufanya chochote.
 
Bangi noma.Niliwahi kuvuta nilipokuwa Primary.Siku moja tu.Basi siku hiyo nilianzisha ugomvi na jamaa aliyenizidi kila kitu:umri,mwili,nguvu na vinginevyo.'Nikaumuliwa' vya kutosha...
 
Ganja haina shida hizo mazee hawa wanamirembe hao wametoroka hospital yao
 
Ukitaka kushuhudia bangi linavutwa hadharani nenda kwenye viwanja kunakofanyikia Fiesta
 
ha ahahahahaaaa!!!! kweli kila unachoweza kuwaza kinafanyika!!!
 
At least wamepatia sehemu ya kupunguzia nguvu zao na kupata njaa ya msosi mwingine
 
Mbona hawana tofauti na Nape kazini, nae analipuliza?
 
Sio bangi, ni adhabu waliyopewa na wanajeshi pale Lugalo.
 
Amna bhana bangi sio mbaya kiivyo.inategemeana na matokeo kati ya mtu na mtu.
Wengi wao wanovuta ni wale ambao matokeo yake ni hasara kwao na sio faida...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…