donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,618
- 3,273
Mkuu Molembe binafsi nachukulia mchepuko sio sifa ya uanaume... bali ni tabia ya mtu mmoja mmoja kaka.
Bahati mbaya kufanikiwa kwa Watanzania wengi kumezidi kujionesha kwenye idadi ya vilevi na wanawake anaomiliki nje ya ndoa yake. We really need to change guys..... Kama Mtambuzi alivyosema, hatuhitaji kuwa kama kila mtu, na hatuhitaji kufanya kitu kwa kuwa kila mtu anafanya.
Pesa watu wanazo lakini hawachepuki,kuchepuka sio ujanja