Tuache kunyosheana vidole wanaume wote wachepukaji.

Tuache kunyosheana vidole wanaume wote wachepukaji.

Mkuu Molembe binafsi nachukulia mchepuko sio sifa ya uanaume... bali ni tabia ya mtu mmoja mmoja kaka.

Bahati mbaya kufanikiwa kwa Watanzania wengi kumezidi kujionesha kwenye idadi ya vilevi na wanawake anaomiliki nje ya ndoa yake. We really need to change guys..... Kama Mtambuzi alivyosema, hatuhitaji kuwa kama kila mtu, na hatuhitaji kufanya kitu kwa kuwa kila mtu anafanya.

Upo sahihi kabisa mkuu naunga mkono hoja.,
 
Miye simo kabisa hebu muulize mama Ngina...
Tena ukome kujenerelaizi wakati huna uhakika na tuhuma zako
 
Molembe umekosea sana mkuu kugenerelaze eti wanaume wote!are you sure?lengo lako nini ni nini kuanzisha hii thread moyo unakuuma kwa tabia zako za uchepukaji na kwa hiyo unataka support kutoka kwa wengine ili ujihisi uko salama kwa kujua si wewe tu mwenye michepuko?ple mkuu umekosea sana ninaamini kuna wanaume wengi tu humu hawana michepuko na nafikiri mpaka sasa umejionea mwenyewe Mr Rocky Tized,na kwa taarifa yako fupi tu wala michepuko sio uanaume au urijali ni kukosa mapenzi ya dhati kwa mwenzi wako na pia kukosa hofu ya Mungu full stop na si vinginevyo so you better stop and thik twice dude.

Si kukosa mapenzi kwa mpenzi huyu alikosa mapenzi hata ya wazazi yaani anatafuta upendo kwa kuwa na wapenzi wengi akifikiri ndio anapendwa ni amekuwa affected kisaikolojia. Mwanaume rijali hapimwi kwa idadi ya wanawake na watoto alio nao bali kwa maendeleo mazuri ya watoto na wajukuu zake na hii inaleta maendeleo hata kwa jamii na taifa kwa ujumla.
 
Last edited by a moderator:
Eeeh...! mnalilia haki zenu?

Hili swala la kutokuchepuka ni utashi wa mtu hali husiani na kisu kikali.

Kwa vile wewe unachepuka basi usidhani wanaume wote wanafanya hivyo.

Kila mmoja ana mtazamo wake juu ya mahusinao yake, na jinsia anavyo ya heshimu.

Kwa mwanaume anaejitambua hawezi kuchepuka kwa kigezo cha uanaume wake au kawa vile wanaume wengine wanachepuka!
Molembe na mwenzako Asprin maana inaonekana mnajuana kwa vilemba! ujumbe huu uwafikie wote na ambao haukuwataja hapo "Ala moja haikai panga mbili"
 
mungu nisaidi, kabla ya ndoa sijawahi kuchepuka nikaoa baada ya kuoa nikiwa masomoni nikakosa uvumilivu nika chepuka kidogo, naapa simto rudia tena walahi. mungu nisaidie
 
Kuchepuka ni muhimu kabla ujala kiapo. Pindi unapoamua kuoa,ni muhimu kubaki njia kuu.
Wanatakaopinga hili ninauhakika asilimia 99.99% wakishaoa watakuwa wanaendekeza michepuko,kwani huwezi kuruka stage za maisha,bali waweza zisogeza mbele tu.

Mkuu napingana na wewe hapo kwenye red kwa nguvu zote, kwa kijana anaejitambua wakati wa ujana ndiyo nafasi iliyonzuri ya kutengeneza maisha yako ya kesho.

Sio kutumia wakati huo kubalidisha wanawake.

Kama ukiamua kutumia muda huo kuchepuka basi jua hata kesho yako itaenda kwa misingi hiyo hiyo.

Hapo kwenye blue naomba nikuoache na maswali kidogo, maana kwa maelezo yako ni kama umefanya utafiti mpaka ukaamua kuweka kiwango kwa asiliamia.

1. Huo utafiti wako umehusisha wanaume wa jamii ipi?

2.Umetumia vingezo/njia zipi kufanya huo utafiti.

3.Wanaume wasiochepuka wakiwa hawajaingia kwenye ndoa wanapungukiwa nini? au wanakosa nini amabacho kitawafanya wachepuke wakiwa wameingia kwenye ndoa?
 
Mkuu Molembe binafsi nachukulia mchepuko sio sifa ya uanaume... bali ni tabia ya mtu mmoja mmoja kaka.

Bahati mbaya kufanikiwa kwa Watanzania wengi kumezidi kujionesha kwenye idadi ya vilevi na wanawake anaomiliki nje ya ndoa yake. We really need to change guys..... Kama Mtambuzi alivyosema, hatuhitaji kuwa kama kila mtu, na hatuhitaji kufanya kitu kwa kuwa kila mtu anafanya.

well said,huwa najiulizaga hivi kuna mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mmoja tu???na hizi starehe ndizo zinazofanya wazee wanazika vijana siku hizi badala ya vijana kuzika wazee
 
Kwa asilimia hamsini naunga mkono hoja ya mheshimiwa. Ila tujue kama biblia ilivyowataja matowashi na michepuko ipo ya aina tofauti na sababu tofauti. Moja michepuko kutokana na tabia ya umalaya. Mbili michepuko inayosababishwa na matatizo ya ndoa na tatu michepuko inayosababisshwa na kipato(pestege).
 
Sio wanaume wote wanachepuka.

Siungi mkono hoja.
 
Kwa asilimia hamsini naunga mkono hoja ya mheshimiwa. Ila tujue kama biblia ilivyowataja matowashi na michepuko ipo ya aina tofauti na sababu tofauti. Moja michepuko kutokana na tabia ya umalaya. Mbili michepuko inayosababishwa na matatizo ya ndoa na tatu michepuko inayosababisshwa na kipato(pestege).
 
haina taabu we usikubaliane na mimi tu lakini kama ulivyo na sample za macheater hata mimi nina sampo za wasio macheater hata kidogo,wanaume wanaovalue ndoa zao na kuzithamini familia zao sio wote narudia tena sio wote hata kama ni kwa asilimia kubwa.
mm sikubaliani na ww mm nina sampling za kutosha kila unapowakuta wanaume mia basi watatu hawana michepuko ila waliobaki wote wanayo...

Mwanaume mtu hatar sana kuna ma silent killer huwez kujua kuwa wanamichepuko lakin ukiwakuta maeneo ni nouma
 
lin wapo dadaangu. Hata wanawake pia wapo, wengi tu ila kwa kuwa wengi wetu imekua ndivyo sivyo.. ndio inaonekana haiwezekani... KILA KITU KINAANZIA KWENYE FIKRA kupitia yale tunayoyaona na kuyasikia... Ila tuna chaguzi wenyewe kuamua nini chakufanya na nini tusifanye.

Nadhani sababu nyingine ni watu kutafuta solusheni rahisi.. watu wanagombana tu kidogo baada ya kusuluhishana.. anaona shida yote ya nini? anakimbilia kwa x wake au sokoni.


well said,huwa najiulizaga hivi kuna mwanaume anaweza kuwa na mwanamke mmoja tu???na hizi starehe ndizo zinazofanya wazee wanazika vijana siku hizi badala ya vijana kuzika wazee
 
Last edited by a moderator:
Watu wanaita wenzao wachepukaji mara #Teambazazi hivi kweli kuna mwanaume humu hachepuki tunajuana sisi wanaume karibia wote tunachepuka na kama kuna mwanaume hachepuki basi huyo ni domo zege au hana kisu kikali (pesa).
kny; Asprin Mwenyekiti chama cha wachepukaji.



Dahh nimeipenda hii...Ni kweli kabisaa sisi wenyewe wanawake tunawajua wanaume.. Ukiangalia wale wanaokufuata yaani mmmhh picha kamili inakujia kuwa Kila mmoja mchepukaji..

Hakuna wa kumnyooshea mwenzie kidole..Km ni kubadilika woote wabadilike..
 
Binafsi Sijawahi kuchepuka,sichepuki na siji kuchepuka kamwe!."Ajiunganishaye na Kahaba hufanyika mwili mmoja nae"
 
Back
Top Bottom