Tuache kulialia kila wakati juu ya mapenzi, tufanye shughuli zingine

Umejibu vyema sana mkuu, sijui nikutigo-pesa!? Ni kwel mazoea ndo humiza, hulili papuchi/dushe maana ukihitaji same day unapata, ila kufkr kuw utafte mtu mwngne had uje umzoee ndo kulia kunaanzia hapo.
ha ha ha kutigo -pesa?
kuqnzq upya kumzoea mtu ni tabu acheni tu.
 
Kumbe na wewe unaliaga???Mimi nilifikiri kazi yako kuumiza tu watu
boss siku ya kwanza kuichungulia dunia tu nililia sembuse kumzoea mtu kwa mara ya kwanza?


napo nimelia mara moja zengine ni kama nimekamuliwa kahawa machoni.
 
Back
Top Bottom