Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,954
- 3,011
Waambie watupe Wake zao wa Mikoani waone kama hatujawa kula 071
Huku tu tupo vidume mkoaninipo dar lakini naishi kama nipo bushland like town,nabadilisha mazingira wala si mazingira kunibadlisha mimi,naishi dar ila si mwanaume wa dar;
Utakuwa mhamiaji wewe..! Dsm pesa! pesa! pesa!The heading above is concerned!
Kumekua na katabia kwa wanaume hususani waliopo mikoani huko nje ya dar kujiona wao ndo bora, perfect and strong zaidi ya wanaume wa dar.
Yaani ikitokea tatizo kidogo tu linalohusisha wanaume waliopo dsm, utasikia kejeli kuwa tatizo wanaume wa dar wapo hivi wapo vile..
Ilitokea suala la panya road, watu wakaanza kudharau wanaume wa dar kushindwa kupambanaa nao
Imetokea pia kejeli kwa vyakula wanavyokula wanaume wa dar! Eti mwanamume wa dar akila Muhindi wa kuchoma akaweka na viungo kama limao na pili pili pia anadharauliwa.
Juzi police wamepiga watu huko mombasa watu wakaanza kuwakejeli tena wanaume wa dar kwa kushindwa kupambanaa na police.
Kwanini kejeli hizi ni kwa wanaume wa dar tu? Watu wa mikoani mna nini kipya cha kuwazidi wanaume wa dar?
Tuache dharau na kejeli kwa wanaume wa dar ambao ni kioo cha wanaume wote tz!
shenz sana wwWanaume wa dar kila kitu wanaweka pilipili hadi maji
wewe ni kioo cha nani!? acha dharau dogo yaani mtu unaekula vipande vitatu vya pweza then unaenda kulala unajiita ni kioo cha mtu!? umbwa we!Tuache dharau na kejeli kwa wanaume wa dar ambao ni kioo cha wanaume wote tz!
na nyie wanaume wa dar muwe mnajikakamua basi...
Kwanza nguvu za kiume mnabusti,hao madem mnaoringia mnawagegeda na nn?Yaani naamini mvulana wa mkoani mpaka ampate demu wa Dar atakua ametumia pesa nyingi sana na wapambe wakutosha. Kwanza hizo nguo mnazovaa za polyester huku Dar hazipo, hayo maviatu yenu yenye udongo mwekundu na kupinda soli sisi huku hatuvai, yaani ukiingia mjini, unajulikana tu moja kwa moja kwamba kilometer zako ni chache mjini. Wanawake mnao wachukua ni wauza papuchi na ma bar maids waliotokea mikoani kwenu kutafuta maisha mjini, so mnakutana. Asikuambie mtu mjini ni mjini tu, hilo ata nyinyi mnalijua ila mnajifariji. Karibuni mjini.
Ni kweli wameolewa DSM lakin dada zetu wanalalamika ...mzigo hampigi vizur..mpaka house boy anasaidia..hao dada zetu ndio wanatuambia..hahahahaWaache waendelee kuwatania shemeji zao kwani ni ukweli usiopingika kwamba 70% ya wanaume wa mikoa dada zao wameolewa Dar.Karibuni sebuleni na mabandani.
Vipo kwa ajili ya mademuHivi mikoani huko huwa vioo hakuna?
wewe ni kioo cha nani!? acha dharau dogo yaani mtu unaekula vipande vitatu vya pweza then unaenda kulala unajiita ni kioo cha mtu!? umbwa we!
Inapimwa pale unaposhindwa kumgegeda demu wako kwa sababu ya kukosa kula vumbi la CongoI take this more seriously! hivi katika msimamo wa ligi ya VPL timu za juu zinatoka mkoa gani? na je timu za kikapu za wanaume wa dar mnazionaje? boxing je? nyie wa mikoani mnajisifia kugegeda tu wakati hakuna kipimo au ligi inayopima kugegeda.
Thubuutuuu! anakuchuna tuNna dem ambaye anaishi hapo dar ila kila mwezi lazima aje mkoani ni mgegede na huwa anasemaga et dar wanaume siyo strong sana tatizo wanapenda sana chips yai. Joke
Wanaume shughuli nyingi mjini hapa lazima tuchoke. Kwenye gari ni lazima kukaa. Silipi nauli yangu ili nisimameHupangiwi ila huwezi kusimama
Yani ukisimama kimara to posta unatepeta kama pweza
Ulitaka ugali? Ungeenda kwa mama ntilieJana nimekuja Dar kwenye issue zangu na nimeshukia kwenye lodge fulani sasa nikawaomba wanipeleke sehemu ya kula,cha kushangaza nikapelekwa kwenye chips yai na kidume kilichonipeleka hapo kinaona ni kawaida kabisa na kinaniambia eti kwenye hilo eneo chips zao ni tamu sana!!!.....nimeshikwa bumbuazi kubwa sana!!
Wanaume wa dsm wanatakatisha wanaume wa Tanzania nzimawewe ni kioo cha nani!? acha dharau dogo yaani mtu unaekula vipande vitatu vya pweza then unaenda kulala unajiita ni kioo cha mtu!? umbwa we!
Shughuli gani bana wewe ratiba za wanaume wa dar zinajulikana...Wanaume shughuli nyingi mjini hapa lazima tuchoke. Kwenye gari ni lazima kukaa. Silipi nauli yangu ili nisimame