Tuache dharau kwa wanaume wa DSM! Kila siku Wanaume wa Dar, wanaume wa Dar.. Huu ni udhalilishaji

I take this more seriously! hivi katika msimamo wa ligi ya VPL timu za juu zinatoka mkoa gani? na je timu za kikapu za wanaume wa dar mnazionaje? boxing je? nyie wa mikoani mnajisifia kugegeda tu wakati hakuna kipimo au ligi inayopima kugegeda.
 
The heading above is concerned!

Kumekua na katabia kwa wanaume hususani waliopo mikoani huko nje ya dar kujiona wao ndo bora, perfect and strong zaidi ya wanaume wa dar.

Yaani ikitokea tatizo kidogo tu linalohusisha wanaume waliopo dsm, utasikia kejeli kuwa tatizo wanaume wa dar wapo hivi wapo vile..

Ilitokea suala la panya road, watu wakaanza kudharau wanaume wa dar kushindwa kupambanaa nao

Imetokea pia kejeli kwa vyakula wanavyokula wanaume wa dar! Eti mwanamume wa dar akila Muhindi wa kuchoma akaweka na viungo kama limao na pili pili pia anadharauliwa.

Juzi police wamepiga watu huko mombasa watu wakaanza kuwakejeli tena wanaume wa dar kwa kushindwa kupambanaa na police.

Kwanini kejeli hizi ni kwa wanaume wa dar tu? Watu wa mikoani mna nini kipya cha kuwazidi wanaume wa dar?

Tuache dharau na kejeli kwa wanaume wa dar ambao ni kioo cha wanaume wote tz!
Utakuwa mhamiaji wewe..! Dsm pesa! pesa! pesa!
 
Yaani naamini mvulana wa mkoani mpaka ampate demu wa Dar atakua ametumia pesa nyingi sana na wapambe wakutosha. Kwanza hizo nguo mnazovaa za polyester huku Dar hazipo, hayo maviatu yenu yenye udongo mwekundu na kupinda soli sisi huku hatuvai, yaani ukiingia mjini, unajulikana tu moja kwa moja kwamba kilometer zako ni chache mjini. Wanawake mnao wachukua ni wauza papuchi na ma bar maids waliotokea mikoani kwenu kutafuta maisha mjini, so mnakutana. Asikuambie mtu mjini ni mjini tu, hilo ata nyinyi mnalijua ila mnajifariji. Karibuni mjini.
Kwanza nguvu za kiume mnabusti,hao madem mnaoringia mnawagegeda na nn?
 
Nyie wanaume wa dar kazi tu kuandika jomoni, lol na x badala ya s yani mnakeraga.

>kusuka nywele
>kupaka rangi kucha
>kuvaa hereni kwanzia masikioni hadi puani kama ng'ombe
>kuvaa nguo zilizochanikachanika hamna tofauti na machizi.
>kulialia hovyo sijui panya rodi, mara kupigwapigwa na polisi

KIUFUPI WANAUME WA DAR NI WAREMBO KULIKO DADA ZENU

OVA
 
I take this more seriously! hivi katika msimamo wa ligi ya VPL timu za juu zinatoka mkoa gani? na je timu za kikapu za wanaume wa dar mnazionaje? boxing je? nyie wa mikoani mnajisifia kugegeda tu wakati hakuna kipimo au ligi inayopima kugegeda.
Inapimwa pale unaposhindwa kumgegeda demu wako kwa sababu ya kukosa kula vumbi la Congo

Mmekuwa nyoka?
 
Jana nimekuja Dar kwenye issue zangu na nimeshukia kwenye lodge fulani sasa nikawaomba wanipeleke sehemu ya kula,cha kushangaza nikapelekwa kwenye chips yai na kidume kilichonipeleka hapo kinaona ni kawaida kabisa na kinaniambia eti kwenye hilo eneo chips zao ni tamu sana!!!.....nimeshikwa bumbuazi kubwa sana!!
Ulitaka ugali? Ungeenda kwa mama ntilie
 
wewe ni kioo cha nani!? acha dharau dogo yaani mtu unaekula vipande vitatu vya pweza then unaenda kulala unajiita ni kioo cha mtu!? umbwa we!
Wanaume wa dsm wanatakatisha wanaume wa Tanzania nzima
 
Wanaume shughuli nyingi mjini hapa lazima tuchoke. Kwenye gari ni lazima kukaa. Silipi nauli yangu ili nisimame
Shughuli gani bana wewe ratiba za wanaume wa dar zinajulikana...
Unaamka unapiga soseji moja chai nusu kikombe
Unakaa kwenye kochi kucheki tamthilia ya kifilipino , unaingia saloon kunyoa, scrub, unaosha miguu
Mchana kiepe chako unagonga nusu, nusu unaacha, jioni unapiga kipande cha muhindi chenye ndimu na pilipili
Utasimamaje sasa kwenye daladala
 
Back
Top Bottom