Tuachane na Forbes, nani tajiri namba 1 Tanzania?

Yogesh Manek Ni Noma
Mac Group of Company
Exim Bank
Aliance Insurance
Heritage Insurance More than 55%share
Strategy Medical Insurance
Uvinza Chumvi
Tank
Whitedent
Pipi na Chocolate aina Nyingi
ana Biashara Nyingi Sana na Viwanda, Pia anaendelea Kuongeza Viwanda Huyu ni noma

Bakhresa kwake ni kama Kichekesho tu akilinganishwa nae nakumbuka mwaka 2008 aliacha kutumia Landcruiser kama hizi wanazozing'ang'ania Serikali sasa hivi zilipotoka akaulizwa Why! akasema Siwezi tumia Gari ambalo hata Muuza Kanga anatumia wakamuuliza nani huyo muuza Kanga akasema ni Huyo Masikini mwenye kiwanda cha kanga KTM Wa Mbagala Zakheem

Tatizo la Umaskini kwake ni Ana Watoto wa KIke pekee 2

Mkuu umeoa? Umebahatika kupata watoto wa kike na kiume? Kama unao wa kiume pia angalia usije ukapata laana Mungu akaamua kuwafanya vimeo na hao wa kike wakaongoza!!! Kuna familia nyingi zina watoto wa kiume zaidi ya 5 na kike mmoja tu akaikomboa familia!!! A true story, kuna ndugu yangu mmoja alikuwa anadharau sana mtu akizaa mtoto wa kike hasa wa kwanza!! Ukizaa mtoto wa kiume anasema ni sawa na kuzaa 2 wa kike. You know what!!! Alioa, na alijaliwa watoto wa kike tu, alizaa number 1 kike, 2 kike, 3 kike, 4 kike hadi akaendela wa 6 na nje pia kazaa but kwa maneno yale alijilaani!!! Angalie usijilaani au kuwalaani wanao wa kiume it at all you have one!!
 
bongo kuna matajiri???sana sana kuna matajiri uchwara tuu .....matajiri wasioingia hata kwenye 200 forbes rich list teehteeh.
 
Mkuu umeoa? Umebahatika kupata watoto wa kike na kiume? Kama unao wa kiume pia angalia usije ukapata laana Mungu akaamua kuwafanya vimeo na hao wa kike wakaongoza!!! Kuna familia nyingi zina watoto wa kiume zaidi ya 5 na kike mmoja tu akaikomboa familia!!! A true story, kuna ndugu yangu mmoja alikuwa anadharau sana mtu akizaa mtoto wa kike hasa wa kwanza!! Ukizaa mtoto wa kiume anasema ni sawa na kuzaa 2 wa kike. You know what!!! Alioa, na alijaliwa watoto wa kike tu, alizaa number 1 kike, 2 kike, 3 kike, 4 kike hadi akaendela wa 6 na nje pia kazaa but kwa maneno yale alijilaani!!! Angalie usijilaani au kuwalaani wanao wa kiume it at all you have one!!

Kuhusu watoto Sijamaanisha vibaya ila kawaida Jina la umiliki wa mali kwa watoto wa kike mwishowe hubadirisha Jina la koo... so watoto wakiolewa watatumia sir name za waume zao ndio maana wengi wa watoto wa matajiri huchelewa kuolewa Tizama hata kwa Mengi! Reg bado Unmarried na Umri unaenda kwa kasi sana... Sijamaanisha kama wewe unavyofikiria moyoni mwako... Huyu Yogesh amerithi na atarithiwa na Watoto wake so Ownership name itahamia mabinti wakishaolewa pengine na Mjukuu ndio atafunga kila kitu no more Sir Manek
 
You can read by yourself in: The 20 Most Powerful People In African Business - Forbes

The 20 Most Powerful People In African Business. Mengi is one of Africa's most powerful media barons. Started out as an accountant; made first millions manufacturing ballpoint pens and selling them to big retailers. Today, he heads IPP Group, a diversified media conglomerate active in East Africa. Assets include 9 newspapers, 2 television stations and 3 radio stations. Also owns a Coca-Cola bottling plant in Dar-es Salaam.
 
Riz zero akae akijua kuwa kufanya biashara kwa mgongo wa ikulu kuna mwisho. Ukitoka tu ikulu utashindwa kuendesha biashara na huo ndio utakuwa mwisho wako

Hiyo anayofanya huyu kijana huko Ikulu sio biashara ni INFLUENCE PEDDLING; yaani yeye anafanya udalali ambao utakwisha muda wa kupanga magogoni utakapositishwa!!
 
Davis Mosha ni billionaire namba moja bongo mbantu . Asset yake moja tu -ile Lamborghini - kwa maneno yake mwenyewe ni Tshs 1bn. acha zile garina zenye personalized IDs sijui davina?1-5

NANI KAKUDANGANYA LAMBORGHINI BILION MOJA? tena anayo ya zamani ambayo ni paund laki moja unusu,
 
Tajiri wa Ukweli ni Yogesh tu Wengine ni Wajanja wajanja tu... Nakumbuka Zamani soda zilikuwa zinabebwa kwenye kreti za Mbao na kiwanda chake kilimaliza hilo Tatizo kwa makreti ya Plastic

Mlikuwa mnatumia sana Dawa Zake za Mbu za Kuchoma hahahaha

Na kama uwekezaji wa Ndani basi kiwanda cha chumvi uvinza kinaendelea japo kuna wakati alitaka kukifunga kwa mizengwe ya watu walizania ni mbabaishaji
Baada ya kusoma portfolio yake kwenye Bloomberg Business News na hizo acquisitions...inawezekana kabisa jamaa ndio tajiri wa kweli hapa Bongo. Kuna wadau watabisha na kusema sijui Davis Mosha,sijui Papaa nani. Lakini kwa mtu anayejua biashara na uchumi Bw. YOgesh ametisha.
 
Forbes haina data zote za matajiri wa TZ
mfano owner wa OILCOM ally Ushoom usikute ndo tajiri no 1 TZ
labda wanao mjua waje waseme sioni TZ wa kumzidi Bakhresa na Ally Ushoom

cc faizafoxy Ritz Nyani Ngabu EMT @

Kwa Tanzania mimi nadhani ni vigumu sana kujua nani yuko worth kiasi gani kwa sababu sidhani kama mali za watu ziko documented kama huko kwenye nchi zilizoendelea.
 
Kwa Tanzania mimi nadhani ni vigumu sana kujua nani yuko worth kiasi gani kwa sababu sidhani kama mali za watu ziko documented kama huko kwenye nchi zilizoendelea.

Very True
mfano ni hizo kampuni za petroli
eti Kibuku wanalipa kodi nyingi kuliko Oilcom au Gapco au Engen
ndo utajua kuna kodi nyingi hazilipwi...na ndo maana huwezi jua hata utajiri wa watu halisi
 
Back
Top Bottom