Tuachane na Forbes, nani tajiri namba 1 Tanzania?

Yogesh manek huyo wa Exim bank,pacific line,chemicotex,heritage insurance etc nafikiri anaongoza japo hasikiki Sana
 
Wale wazungu wasitupangie nani tajiri namba moja nchini kwetu. Hebu wenyewe tujadili kati ya hawa nani namba moja?
1. Yogesh Manek
2. Mustapha Sabodo
3. Reginald Mengi
4. Salim Bakhressa
5. Mohammed Dewiji
6. Yusuph Manji
7. Ali Mafuruki
8. Rostam Aziz
9. Jeetu Patel
10. Fidal Hussen
11. Davies Mosha
12. Oilcom
Mbona simuoni chibu dangote ,bin laden,simba
 
watakuambia tajiri zaidi ni Rostam Aziz, ila biashara zake mi ndo sielewagi, mara utasikia ana share kwenye voda etc
 
Kama utajiri unapimwa kwa kuwa Philantropists, then Tajiri No. 1 ni Mhindi mwingine kwa jina la Mustapha Sabodo akifuatiwa na Mzee wetu Reginald Mengi.

Nashauri tuanzishe kiji forbes magazine chetu.

Pasco.
BILIONEA SABODO AFARIKI DUNIA..

Bilionea na Mchumi maarufu nchini, Mustafa Jaffer Sabodo amefariki Dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwakwe, Masaki jijini Dar es Salaam.

"Mzee amefariki leo alfajiri akiwa nyumbani. Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa katika makaburi yaliyoko mtaa wa Bibi Titi Mohamedi karibu na CBE," amesema Danstan.

Marehemu Sabado alizaliwa mkoani Lindi na alikuwa akifanya biashara katika nchi za Ufaransa, India, Kenya, Sudan, Nigeria, Zimbabwe na Tanzania.

Atakumbukwa kwa mchango wake ulioanzisha Mwalimu Nyerere Foundation National Lottery alipotoa msaada wa Sh milioni 800. Alihusika katika utoaji wa misaada kadhaa iliyohusisha kilimo, ujenzi wa visima na kusaidia wenye uhitaji.
Sabodo atazikwa leo saa 4:30 usiku.
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un.
“We surely belong to Allah and to Him we shall return”
"Sisi sote ni wa Mola, na kwake tutarejea".

Paskali pia anakuaga!.
RIP Jaffar Sabodo.
 P
 
RIP
 
Hebu wakuu niambieni nani ndo bilionea (mtu binafsi ama taasisi binafsi) wetu number one Tanzania?

Wale wazungu wasitupangie nani tajiri namba moja nchini kwetu.

Hebu wenyewe tujadili kati ya hawa nani namba moja?

1. Yogesh Manek
2. Mustapha Sabodo
3. Reginald Mengi
4. Salim Bakhressa
5. Mohammed Dewiji
6. Yusuph Manji
7. Ali Mafuruki
8. Rostam Aziz
9. Jeetu Patel
10. Fidal Hussen
11. Davies Mosha
12. Oilcom
lake oil hujamuweka GSM
 
BILIONEA SABODO AFARIKI DUNIA..

Bilionea na Mchumi maarufu nchini, Mustafa Jaffer Sabodo amefariki Dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwakwe, Masaki jijini Dar es Salaam.

"Mzee amefariki leo alfajiri akiwa nyumbani. Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa katika makaburi yaliyoko mtaa wa Bibi Titi Mohamedi karibu na CBE," amesema Danstan.

Marehemu Sabado alizaliwa mkoani Lindi na alikuwa akifanya biashara katika nchi za Ufaransa, India, Kenya, Sudan, Nigeria, Zimbabwe na Tanzania.

Atakumbukwa kwa mchango wake ulioanzisha Mwalimu Nyerere Foundation National Lottery alipotoa msaada wa Sh milioni 800. Alihusika katika utoaji wa misaada kadhaa iliyohusisha kilimo, ujenzi wa visima na kusaidia wenye uhitaji.
Sabodo atazikwa leo saa 4:30 usiku.
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un.
“We surely belong to Allah and to Him we shall return”
"Sisi sote ni wa Mola, na kwake tutarejea".

Paskali pia anakuaga!.
RIP Jaffar Sabodo.
 P
Inna lillahi
 
Samahani mkuu alikua amebase kwenye biashara gani mkuu
 
Back
Top Bottom