M Machaare JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 1,028 Reaction score 2,503 Jan 12, 2025 #21 Mimi nilimkalia kimya bila kujibu baada ya hapo kaniomba sana msamaha na sikumjibu mpaka leo
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,793 Reaction score 9,072 Jan 12, 2025 #22 Mnyenz said: Meseji kama hizi huwa sizijibu. Unakuta hazipiti siku tatu anakutafuta mwenyewe!!! Click to expand... Anakuwa hajui anachokitaka
Mnyenz said: Meseji kama hizi huwa sizijibu. Unakuta hazipiti siku tatu anakutafuta mwenyewe!!! Click to expand... Anakuwa hajui anachokitaka
Be calm JF-Expert Member Joined May 20, 2023 Posts 3,793 Reaction score 9,072 Jan 12, 2025 #23 Tumwesige senior said: Sidhani kama utapata wa kukuvumilia jinsi unavyonuka Click to expand... 🤣🤣🤣🤣 Kuna watu wananuka aisee🤣🤣🤣🙌
Tumwesige senior said: Sidhani kama utapata wa kukuvumilia jinsi unavyonuka Click to expand... 🤣🤣🤣🤣 Kuna watu wananuka aisee🤣🤣🤣🙌
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 39,379 Reaction score 94,660 Jan 12, 2025 #24 Anayeacha hasemi hizo ni blah blah za mapenzi..!! 😹🤣🤣 Kuna mmoja alimtumia demu wake tuachane, demu akamtumia pic za papa, jamaa akamwambia typing error uko wapi babe 🤣🤣🤣
Anayeacha hasemi hizo ni blah blah za mapenzi..!! 😹🤣🤣 Kuna mmoja alimtumia demu wake tuachane, demu akamtumia pic za papa, jamaa akamwambia typing error uko wapi babe 🤣🤣🤣
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,375 Reaction score 193,339 Jan 12, 2025 #25 Poleni sana... Cc: Mahondaw