TTWB hawa jamaa wapo kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TTWB hawa jamaa wapo kweli

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kondwan, Aug 27, 2013.

 1. k

  kondwan Member

  #1
  Aug 27, 2013
  Joined: Aug 3, 2013
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndugu zangu wanajamvi imekuwa kama mchezo tanzania hii hawa watu wa ttwb wapo kweli au walitaka tu paspot zetu, mwenye taarifa atujuze hapa
   
 2. MwanaHaki

  MwanaHaki JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2013
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,348
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Ungeandika kwa kirefu jina la hiyo taasisi.
   
 3. k

  kondwan Member

  #3
  Aug 27, 2013
  Joined: Aug 3, 2013
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  tanzania teachers without boarders projects. Hicho ndo kirefu chake
   
 4. MwanaHaki

  MwanaHaki JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2013
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,348
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Kama wamekugusa waulize ofisi yao ilipo kisha uombe hati ya usajili. Wajibu wako.
   
 5. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2013
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Duh! Walituingiza mjini wengi kumbe?
   
 6. n

  ng'home Member

  #6
  Aug 27, 2013
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tuko wengi jamani,ila nilisikia watatoa majina wiki iliyopita na mpaka sasa
   
 7. Stanboy

  Stanboy JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2013
  Joined: Jul 4, 2013
  Messages: 530
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Nasikia watatoa majina september!
   
 8. f

  freesoul Member

  #8
  Aug 29, 2013
  Joined: Mar 1, 2013
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Matapeli hayo, niliwauliza ofisi zao zilipo wakaingia mitini, alafu huyo hr chrisant msiga eti anasema usimpigie simu tuma sms tu kuwasiliana simu hadi akuruhusu!! Alafu nimetafuta taarifa za hyu hr and registra manager wao chrisant msiga anajiita hazipo popote, yaaani ndugu zangu hao ni matapeli, mi walinitumia email ya kuwa nimekua shorlisted, jamani hiyo lugha iliyoandikwa humo balaa, barua ndefuuuu kingereza kibovu, spelling mistakes za kumwaga, ndipo nilipogundua ni matapeli kwa kweli. Kwa hiyo muwaangalie kwa jicho la tatu hao watu. Wanachukulia ukosefu wa ajira kwa vijana km chanzo cha utapeli.
   
 9. V

  Vicent Temu Member

  #9
  Aug 29, 2013
  Joined: Aug 13, 2013
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Swali la kizushi mkuu, "wanapata faida gani"???
   
 10. R

  Ranyau Member

  #10
  Aug 30, 2013
  Joined: Jul 12, 2013
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wacha kuupotosha umma, kama hujui funguka uwambiwe ukwel, we wakutapel hayo makabrasha wapeleki wap? (Ttwb).na wanajob id na pia wanafanya kazi sambamba na chama cha walimu. Find details kwanza kabla ya kuropoka.
   
 11. Stanboy

  Stanboy JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2013
  Joined: Jul 4, 2013
  Messages: 530
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Hawa TTWB ni matapeli tu,na wewe Ranyau nahisi ni mmoja wao maana kila kinachoandikwa khs wao unapinga tu,haya tupe details zao sasa...km mtu anaulizia ofisi haambiwi ziko wapi huoni huo ni utapeli?nina ndg,jamaa na marafiki wengi waliomba lakini hakuna kinachoendelea ni ubabaishaji tu,..huyu chrisant huyu,
   
 12. R

  Ranyau Member

  #12
  Aug 30, 2013
  Joined: Jul 12, 2013
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me naongea baada ya uchunguzi wa kutosha . Na walisema uspopata ujumbe wowote ujue umekosa. Na navyo ongea hivi kunamtu kasha pata offer letter ya sehemu aliopangiwa ameambiwa akomferm kama anakubal, napia kuanzia kesho majbu kamili kwa waliopata wengi watatumiwa. Hiyo ni taarifa rasmi, mi sio mmoja wao, ilanipo karibu .so unavyonipnga na kunikejeli nakushangaa sana , kwani hata zle documents walizotoa hazikuspecify lin kazi ina anza au majibu hasa ni lin? Wao walitoa dead line ya application, na mda uliongezwa baada ya wao kuongeza mkao wa kigoma , ambao haukuwa kwenye list ya ile ya awali,fikirin kwanza kabla ya blaming.
   
Loading...