Ttff mashaanza wizi wa mapato tena!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ttff mashaanza wizi wa mapato tena!!!!

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Oct 27, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,475
  Likes Received: 5,715
  Trophy Points: 280
  Tunaomba tupeni pesa halali zilizopatikana na muache uhuni mliokuwa mkiufanya kudanganya pesa zilizopatikana huku watu wanaonekana wengi..sasa sijui ya simba na yanga mtasemaje hata watoto hamuwadanganyi na video ipo kuonyesha idadi!!!

  Heeeee
  kichekesho naona wanaonyesha gari moja la kukatia tiketi ati limeivunjwa na kuibiwa vioo na tiketi...wakati huo huo tiket za 3000 zilikuwa zinauzwa 10,000 sijui tff ndio wameanza hivyo,,,wapeni wachezaji haki yao tafadhalini
   
Loading...