Ttcl modem

Ttcl modem

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,952
Reaction score
9,833
wakuu niko mbeya, nimekuja na modem yangu ya ttcl, sasa tatizo ni kwamba kila nikitaka kuweka vochar inashindwa kuconnect, nikipiga number 100 ili niweze kuweka voucher inakataa... Au mbeya hakuna huduma ya ttcl
 
Ukiichomeka modem kwenye pc, signal zipo au la! Kama signal zipo piga 104.
 
yeah zipo za kutosha but ukipiga inakata tu
 
Jaribu ku-top up kupitia computer ya mtu mwingine ili ubaini iwapo tatizo ni TTCL au ni system yako.
 
okay let me try then ntakuupdate
 
nimejaribu but inafanya the same thing. Nimepiga number 104 ina call then in a second in close
 
Wewe mbona mie natumia kwa raha zangu niko Sae. Wala hainisumbui.
 
da cjui hata shida ni kitu gani, niko mbeya mjini nimejaribu laptop kama tatu shida ni hyohyo. Nashindwa kuweka vocha kabisa
 
tatufa mtu mwenye ttcl mpe namba yako ya vocha halafu akurushie. it should work.
 
Back
Top Bottom