TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

Huyo jamaa anawaangalia ki paka chongo halafu analia Hiiiiiiiiii

Ananunua muda amalizie kwake asepe. Kaa uzubae hapo na babaako
 
Mbona MTU wangu wakaribu kaniambia kiongozi wenu aliitisha kikako akawaambia shirika linaacha kutoa hiyo nauli mwisho wa mwaka... Tofauti na miaka ya nyuma?

Ukizingatia wengi hutegemea hiyo fedha kulipia kodi na ada za watoto wao.. Ni ya kweli hayo unayo sema mkuu?
Kwa kawaida mshahara wa kumi na tatu ( nauli ya likizo) hulipwa mwezi December Mara tu baada ya x mass. Ikumbukwe mshahara wa December hulipwa na ulilipwa kabla ya Xmas.

Kilichotokea mwaka huu ni uchelewesho wa malipo hayo na wafanyakazi walijulishwa kuhusu hali hiyo.

Nasikia yalikuwa maelekezo kutoka serikalini na kwamba wafanyakazi wangelipwa Mara tu watakapopata "mwongozo" toka serikalini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mpangaji wa babako anahusiana nini na dini ya viongozi wa TTCL? Kama babako hajalipwa ni yeye na babako siyo TTCL wenye shida.

Huu ujinga mwengine muwe wa wazi tu.

Fumbo mfumbie mjinga.

Wewe ni nyoka tu ambae unachuki binafsi hauna cha mpangaji wala kodi.
Mwanamke wa FIRDAUS upo? Asalaam Aleykum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la dini si umeandika wewe post yako ya kwanza, au umeshasahau?

Ungekuwa haufahamu ilihusu nini wewe kuandika kuhusu dini?
Wallah Wewe lazima uje kuwa Hurulayn wangu Peponi....na miguvu tutakayopewa kuwashughulikia (Refer speech za Alhaj Kipoozeo) nitakuwa nakutafuna wewe peke yako wengine nitakuwa siwagongi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa Muongo Sana.

Sasa Kwa mfano ni kweli, huyo mpangaji wenu anapata mshahara shilingi ngapi? Maana umesema anasubiri mshahara wa December huo huo awapeleke watoto wake shule (Ada na mahitaji yote ya shule) alafu mshahara huo huo awalipe Kodi yenu ya mwaka (umesema analipaga December miaka yote)

Hapa kuna kitu hakiko Sawa, eiza kuwachafua TTCL au kuingiza udini bila sababu.

Mwisho kabisa, tukiashumu ni kweli jamaa hajalipa Kodi, hebu kuwa kijana. Mzee wako alihangaika katika umri wako akajenga nyumba anapangisha watu wewe unaamka asubuhi unasubiria TTCL walipe mshahara nawe ukinge kupitia mgongo wa Mzee. Mnaipigia hesabu hela ya mzee Hadi senti tano ya mwisho, Mzee anashindwa hata kununua suruali au kumpa mchepuko wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mwisho usisashangae akamuombea kifo mzee wake ili kodi yote achukue yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua analipwa kiasi gani na kodi yetu ya pango ni kiasi gani? Unajua ana akiba kiasi gani au ameahidiwa kusaidiwa kiasi gani akiongeza na mshahara wake atafanikisha kiasi gani? Kuwa na huruma
Sasa kama ana akiba hiyo na ameahidiwa kusaidiwa kiasi hicho kwanini asiwalipe kodi yenu na kupeleka watoto shule? Yaani awe na akiba alafu watoto wasiende shule kusubiri mshahara, kazi ya kuweka akiba ni nini kama si ada?

Mkubwa umefeli kwenye hili bandiko lako. Wana TTCL wmejitokeza hapa kukwambia wameshalipwa, bado unabisha!
 
Napenda kushauri mtoa post kufanya uchunguzi wa kina pindi unapotaka kutoa post. Naamin jukwaa hili NI la watu wenye kufikiri kwa kina kama linavyojulikana (home of great thinkers). Kitendo cha kupost "upotoshaji so sawa hata kidogo.
Nukta nayojenga hapa NI kwamba hakuna UKWELI WOWOTE wa madai hayo. Mimi NI miongoni mwa wafanyakazi wa shirika n.a. nakiri kupokea mshahara wangu mapema kabisa (tarehe 23.12.2019) n.a. sikukuu ilikuwa njema kwangu.

Kama NI kweli hayo uliyoandika umeyatoa kwa mpangaji wako, mdai n.a. akulipe pesa yako ya kodi pesa ilishalipwa mapema. Atoe sababu nyingine lakini sio hiyo ya kutolipwa mshahara.
TUACHE CHUKI ZISIZO N.A. MANA KWA KUWA HAZINA TIJA.
NIMEJIBU KAMA MFANYAKAZI NA SIO KAULI YA UONGOZI ila nimeguswa n.a. UONGO HUU WA MCHANA KWEUPE. GHILIBA N.A. CHUKI ZA KIJINGA HAZISAIDII KITU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20200107-132009.png
    Screenshot_20200107-132009.png
    180.1 KB · Views: 5
Mzee wangu amempangisha Mfanyakazi wa TTCL anayefanyia tawi la jirani na Kiwanda cha Sigara ambaye kila Mwaka ikifika December hulipa kodi yake bila usumbufu kwa miaka mitatu aliyokaa na sisi huku akiendelea na ujenzi wa nyumba yake huko mbagala Kongowe.

Tangu tarehe ya kodi ilipofika mpangaji wetu amekuwa na sound nyingi mara atalipa mwisho wa mwezi mara mwanzoni mwa Januari lakini hadi leo watoto wake wamfungua shule ameshindwa kuwapleka shule na hana dalili yopyote ya kuwapeleka shule.

Lakini jana jumapili tarehe 5 mzee na mimi tuliwendea na notice ya kutaka atuachie nyumba yetu maana mzee nae anategemea kodi hiyo hiyo ili apelike madogo shule lakini tulichokutana nacho kimetushangaza sana.

Mpangaji wetu alisema hawajalipwa MSHAHARA na mimi na mzee tulimbishia sana kwamba haiwezekani kampuni ya simu inatowa gawio hadi la shilingi Bilioni Mbili lishindwe kuwalipa mishahara.

Kwa kututhibitishia aliwapigia wafanyakazi wenzie kama watano kwa kuweka LOUD SPEAKER na wote hao kwa masikio yetu tulisikia wakiwa na malalamiko yanayofanana wakilaumu uongozi wa kampuni hiyo kuwatendea unyama kwa kutowalipa mishahara.

Wafanyakazi hao wengine walionekana ni wau wazima walikuwa wanalalamikia boss mmoja (jina kapuni kwa sasa) kuwa ni dikteta, hana utu na ana upendeleo wa kidini na ndiye anayefanya wafanyakazi wadhalilike mitaani.

Wafanyakazi hao kila mmoja kwa namna yake walilalamika kushindwa kuwapeleka watoto wao mashuleni, wengine kushindwa kulipa madeni wengine kodi za nyumba ilimradi kila mmoja na manung'uniko yake.

Kampuni ya simu inakumbushwa kuwa Wafanyakazi wanaishi kwenye jamii na hivyo wanajikuta wanapata usumbufu kutokana na kushindwa klipa madeni muhimu.

Isingekuwa huyu mpangaji kuwapigia wenzie hadi wa mikoani jana ilikuwa ni siku ya mwisho kukaa na sisi maana tulishamwambia dalali atutafutie mpangaji mwingine.

Mimi siamini kama TTCL inaweza kuwakalisha wafayakazi wake muda mrefu bila kuwalipa mishahara isipokuwa ni management kupuuza mchango wa wafanyakazi na kama walivyokuwa wakiongea kwenye simu kuwa wenyewe wanalipana mishahara mikubwa ya hadi shilingi Milioni saba kwa mwezi hawawezi kujali shida za wafanyakazi wanaopata shilingi laki saba kwa mwezi.

Mpangaji wetu leo hii watoto wake wawili wamshindwa kwenda shule hawana ada.

TTCL LPENI MISHAHARA WAFANYAKAZI WENU WANAADHIRIKA HUKU MITAANI.
Ndugu wa JF naomba kuthibitisha Mimi ni Mfanyakazi wa TTCL hii habari sio ya kweli kabisa TTCL ilisha lipa Mshahara mapema kabisa watu tumepata mshahara Bank tarehe 20 hadi 21 wafanyakazi wote walikua wamepata na hii ilifanyika makusudi kabisa ili wafanyakazi washerekee sikukuu ya Christmass wakiwa wanapesa ,kama hakulipa kodi ni yeye tu labda hakujipanga ila mshahara tumelipwa mapema sana,huyu anasababu zake tu na hapa tunasubiri msaharaha ya January 2020 .
 
Kwan Kuna tatizo wewe ukisema unafanya kaz ttcl coz sidhan mtu anaweza kwenda kudaiwa afu awapigie cm wafanya kaz wenzake kwaajil ya kuthibitisha kua hawajalipwa mshahara afu mbaya zaiid unajikanyaga et wao wanalipana million 7 sijui wengine wanalipwa laki7 sithan kama mdahiwa wa kodi anaweza elezea yote haya.
 
Mzee wangu amempangisha Mfanyakazi wa TTCL anayefanyia tawi la jirani na Kiwanda cha Sigara ambaye kila Mwaka ikifika December hulipa kodi yake bila usumbufu kwa miaka mitatu aliyokaa na sisi huku akiendelea na ujenzi wa nyumba yake huko mbagala Kongowe.

Tangu tarehe ya kodi ilipofika mpangaji wetu amekuwa na sound nyingi mara atalipa mwisho wa mwezi mara mwanzoni mwa Januari lakini hadi leo watoto wake wamfungua shule ameshindwa kuwapleka shule na hana dalili yopyote ya kuwapeleka shule.

Lakini jana jumapili tarehe 5 mzee na mimi tuliwendea na notice ya kutaka atuachie nyumba yetu maana mzee nae anategemea kodi hiyo hiyo ili apelike madogo shule lakini tulichokutana nacho kimetushangaza sana.

Mpangaji wetu alisema hawajalipwa MSHAHARA na mimi na mzee tulimbishia sana kwamba haiwezekani kampuni ya simu inatowa gawio hadi la shilingi Bilioni Mbili lishindwe kuwalipa mishahara.

Kwa kututhibitishia aliwapigia wafanyakazi wenzie kama watano kwa kuweka LOUD SPEAKER na wote hao kwa masikio yetu tulisikia wakiwa na malalamiko yanayofanana wakilaumu uongozi wa kampuni hiyo kuwatendea unyama kwa kutowalipa mishahara.

Wafanyakazi hao wengine walionekana ni wau wazima walikuwa wanalalamikia boss mmoja (jina kapuni kwa sasa) kuwa ni dikteta, hana utu na ana upendeleo wa kidini na ndiye anayefanya wafanyakazi wadhalilike mitaani.

Wafanyakazi hao kila mmoja kwa namna yake walilalamika kushindwa kuwapeleka watoto wao mashuleni, wengine kushindwa kulipa madeni wengine kodi za nyumba ilimradi kila mmoja na manung'uniko yake.

Kampuni ya simu inakumbushwa kuwa Wafanyakazi wanaishi kwenye jamii na hivyo wanajikuta wanapata usumbufu kutokana na kushindwa klipa madeni muhimu.

Isingekuwa huyu mpangaji kuwapigia wenzie hadi wa mikoani jana ilikuwa ni siku ya mwisho kukaa na sisi maana tulishamwambia dalali atutafutie mpangaji mwingine.

Mimi siamini kama TTCL inaweza kuwakalisha wafayakazi wake muda mrefu bila kuwalipa mishahara isipokuwa ni management kupuuza mchango wa wafanyakazi na kama walivyokuwa wakiongea kwenye simu kuwa wenyewe wanalipana mishahara mikubwa ya hadi shilingi Milioni saba kwa mwezi hawawezi kujali shida za wafanyakazi wanaopata shilingi laki saba kwa mwezi.

Mpangaji wetu leo hii watoto wake wawili wamshindwa kwenda shule hawana ada.

TTCL LPENI MISHAHARA WAFANYAKAZI WENU WANAADHIRIKA HUKU MITAANI.
Duu! Na ninyi kweli mmefulia! Baba na mtoto wote mnaongozana kudai pango la nyumba moja? Halafu hamna maana, yaani hata mwezi haujaisha kiguu na njia kwa mpangaji! Kupanga nyumba yenu ni mateso makubwa sana!
 
Umesema jamaa anamalizia Nyumbani yake mbagala. Sasa sikia hii ila msimnyanyase jamaa! Mimi nilipopanga Sinza kabla ya kuhamia kwenye mjengo wangu, Mama mwenye nyumba alikuwa mgonjwa alipalalaizi upande mmoja. Huyo mama alikuwa Mfanyakazi benki zamani huko nyuma. Ana mtoto mmoja wa kike mapepe balaa. Huyo mama wakati naingia kwenye hiyo house 2010 alikuwa analelewa na mtoto wa dada yake ambaye alikuwa na duka hapo nje jamaa alikuwa hajaoa. Mtoto WA kike WA huyo mama aliolewa akaachika akakimbilia Tunduma huko. Amekaa huko 10yrs baadaye akagundua kumbe mama ana nyumba dar akaja, akamtimua huyo jamaa wa kiume. Huyo jamaa wa kiume sisi ndo tuliingia nae mkataba! Akaja kutushtua kwamba mambo yamebadirika mie sipo tena huyo mdada ndo incharge. Toka tumeingia kodi ilipandishwa Mara moja tu na ilifika 250k kwa mwezi. Jamaa akatuambia fanyeni mfanyalo hamieni kwenu au tafuteni nyumba Ya kukaa. Duh uzuri Nilikuwa tayari nimefikia kwenye lenta. Wakati huyu jamaa anakusanya kodi tulikuwa tunampa yoote Ya mwaka mzima. Lkn tulipoambiwa hayo tu nikamwambia wife tunamalizia nyumba yetu fasta achana na kodi. Mama Kaza roho ziba masikio. Kweli tuka paua Fresh, weka grils madirishani, mlangoni, miezi mitatu Dada anaona kimya, akapiga simu nikampa sound mwisho WA mwezi. Ilipofika mwisho wa mwezi nikamkamatisha laki nne hakuongea sana maana mie alikuwa ananiogopa. Hapo tunaendelea kumalizia house kwa kasi. Tukaenda naye hivyo na maneno maneno yakee mpaka tukafanikiwa kufika kiwango cha kuhamia. Tukatafuta pesa ilikuwa imebaki Kama laki saba, nikaenda na wife tukamkabidhi na siku hiyo hiyo Jioni tukaondoka yaani alichanganyikiwa. Tulikaa hapo 8yrs .sasa huyo jamaa atakuwa anafanya yake huku akiwatuliza kimtindo
Mzee wangu amempangisha Mfanyakazi wa TTCL anayefanyia tawi la jirani na Kiwanda cha Sigara ambaye kila Mwaka ikifika December hulipa kodi yake bila usumbufu kwa miaka mitatu aliyokaa na sisi huku akiendelea na ujenzi wa nyumba yake huko mbagala Kongowe.

Tangu tarehe ya kodi ilipofika mpangaji wetu amekuwa na sound nyingi mara atalipa mwisho wa mwezi mara mwanzoni mwa Januari lakini hadi leo watoto wake wamfungua shule ameshindwa kuwapleka shule na hana dalili yopyote ya kuwapeleka shule.

Lakini jana jumapili tarehe 5 mzee na mimi tuliwendea na notice ya kutaka atuachie nyumba yetu maana mzee nae anategemea kodi hiyo hiyo ili apelike madogo shule lakini tulichokutana nacho kimetushangaza sana.

Mpangaji wetu alisema hawajalipwa MSHAHARA na mimi na mzee tulimbishia sana kwamba haiwezekani kampuni ya simu inatowa gawio hadi la shilingi Bilioni Mbili lishindwe kuwalipa mishahara.

Kwa kututhibitishia aliwapigia wafanyakazi wenzie kama watano kwa kuweka LOUD SPEAKER na wote hao kwa masikio yetu tulisikia wakiwa na malalamiko yanayofanana wakilaumu uongozi wa kampuni hiyo kuwatendea unyama kwa kutowalipa mishahara.

Wafanyakazi hao wengine walionekana ni wau wazima walikuwa wanalalamikia boss mmoja (jina kapuni kwa sasa) kuwa ni dikteta, hana utu na ana upendeleo wa kidini na ndiye anayefanya wafanyakazi wadhalilike mitaani.

Wafanyakazi hao kila mmoja kwa namna yake walilalamika kushindwa kuwapeleka watoto wao mashuleni, wengine kushindwa kulipa madeni wengine kodi za nyumba ilimradi kila mmoja na manung'uniko yake.

Kampuni ya simu inakumbushwa kuwa Wafanyakazi wanaishi kwenye jamii na hivyo wanajikuta wanapata usumbufu kutokana na kushindwa klipa madeni muhimu.

Isingekuwa huyu mpangaji kuwapigia wenzie hadi wa mikoani jana ilikuwa ni siku ya mwisho kukaa na sisi maana tulishamwambia dalali atutafutie mpangaji mwingine.

Mimi siamini kama TTCL inaweza kuwakalisha wafayakazi wake muda mrefu bila kuwalipa mishahara isipokuwa ni management kupuuza mchango wa wafanyakazi na kama walivyokuwa wakiongea kwenye simu kuwa wenyewe wanalipana mishahara mikubwa ya hadi shilingi Milioni saba kwa mwezi hawawezi kujali shida za wafanyakazi wanaopata shilingi laki saba kwa mwezi.

Mpangaji wetu leo hii watoto wake wawili wamshindwa kwenda shule hawana ada.

TTCL LPENI MISHAHARA WAFANYAKAZI WENU WANAADHIRIKA HUKU MITAANI.
Hii ni changamoto ya Mtu Binafsi kwani Mishahara tumepokea tokea tar 22 na 23 December 2019, Na tunaendelea kuchapa kazi kuwahudumia Wateja Wetu Wapendwa masaa 24 siku saba na maduka yetu yapo wazi jmosi Jpili na siku za sikukuu zote nchi nzima kila Wilaya Kuhakikisha hatuachi mtu nyuma kwenye Biometric Registration.....Hoja ya msingi tuipuuze haina ukweli wowote
 
habari hizi za uzushi zitaiondolea hadhi yake Jamii Forum, mtu unaanzaje kupika jambo ambalo halipo. ukweli ni kwamba TTCL tupo vizuri na kila Mfanyakazi amelipwa mshahara tena mapema kabla ya pay date ili kutuwezesha Wafanyakazi kusherehekea sikukuu vizuri. acheni majungu jamani
 
Yaani ulipania kabisa kumtimua Mwana kisa pango? Anamiliki mke na watoto! Wewe kiboko, ifike Pahala vijana tuhurumie wenye majukumu, wewe ulipaswa kumshawishi mzee ampatie muda jamaa na sio kumtimua. Hama nenda kapange ujue chungu ya pango.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uzushi Mkubwa.
mm ni mfanyakazi wa TTCL na mshahara wa December tumelipwa hata kabla ya siku kuu za mwisho wa mwaka..

Nikukumbushe mtoa mada japo umejificha nyuma ya hadithi na tuhuma zako za kutunga.... TTCL ya sasa hakuna ubabaishaji na ni bora kuliko wakati wowote.. Mianya ya upigaji imezibwa na kila mfanyakazi anaishi kwa kutegemea mshahara wake.. Nina wasiwasi utakuwa ni wale wafaidikaji wa zamani wa vitendo ovu kulihujumu Shirika kama unavyofanya sasa..
 
Hii ni changamoto ya Mtu Binafsi kwani Mishahara tumepokea tokea tar 22 na 23 December 2019, Na tunaendelea kuchapa kazi kuwahudumia Wateja Wetu Wapendwa masaa 24 siku saba na maduka yetu yapo wazi jmosi Jpili na siku za sikukuu zote nchi nzima kila Wilaya Kuhakikisha hatuachi mtu nyuma kwenye Biometric Registration.....Hoja ya msingi tuipuuze haina ukweli wowote
Ila mmefail kwenye upakikanaji wa vocha na huduma za kifedha hivi uwa hamjiuliza mnafail wapi mpaka halotel kampuni yajuzi tu inawapigaa bao?
 
Mzee wangu amempangisha Mfanyakazi wa TTCL anayefanyia tawi la jirani na Kiwanda cha Sigara ambaye kila Mwaka ikifika December hulipa kodi yake bila usumbufu kwa miaka mitatu aliyokaa na sisi huku akiendelea na ujenzi wa nyumba yake huko mbagala Kongowe.

Tangu tarehe ya kodi ilipofika mpangaji wetu amekuwa na sound nyingi mara atalipa mwisho wa mwezi mara mwanzoni mwa Januari lakini hadi leo watoto wake wamfungua shule ameshindwa kuwapleka shule na hana dalili yopyote ya kuwapeleka shule.

Lakini jana jumapili tarehe 5 mzee na mimi tuliwendea na notice ya kutaka atuachie nyumba yetu maana mzee nae anategemea kodi hiyo hiyo ili apelike madogo shule lakini tulichokutana nacho kimetushangaza sana.

Mpangaji wetu alisema hawajalipwa MSHAHARA na mimi na mzee tulimbishia sana kwamba haiwezekani kampuni ya simu inatowa gawio hadi la shilingi Bilioni Mbili lishindwe kuwalipa mishahara.

Kwa kututhibitishia aliwapigia wafanyakazi wenzie kama watano kwa kuweka LOUD SPEAKER na wote hao kwa masikio yetu tulisikia wakiwa na malalamiko yanayofanana wakilaumu uongozi wa kampuni hiyo kuwatendea unyama kwa kutowalipa mishahara.

Wafanyakazi hao wengine walionekana ni wau wazima walikuwa wanalalamikia boss mmoja (jina kapuni kwa sasa) kuwa ni dikteta, hana utu na ana upendeleo wa kidini na ndiye anayefanya wafanyakazi wadhalilike mitaani.

Wafanyakazi hao kila mmoja kwa namna yake walilalamika kushindwa kuwapeleka watoto wao mashuleni, wengine kushindwa kulipa madeni wengine kodi za nyumba ilimradi kila mmoja na manung'uniko yake.

Kampuni ya simu inakumbushwa kuwa Wafanyakazi wanaishi kwenye jamii na hivyo wanajikuta wanapata usumbufu kutokana na kushindwa klipa madeni muhimu.

Isingekuwa huyu mpangaji kuwapigia wenzie hadi wa mikoani jana ilikuwa ni siku ya mwisho kukaa na sisi maana tulishamwambia dalali atutafutie mpangaji mwingine.

Mimi siamini kama TTCL inaweza kuwakalisha wafayakazi wake muda mrefu bila kuwalipa mishahara isipokuwa ni management kupuuza mchango wa wafanyakazi na kama walivyokuwa wakiongea kwenye simu kuwa wenyewe wanalipana mishahara mikubwa ya hadi shilingi Milioni saba kwa mwezi hawawezi kujali shida za wafanyakazi wanaopata shilingi laki saba kwa mwezi.

Mpangaji wetu leo hii watoto wake wawili wamshindwa kwenda shule hawana ada.

TTCL LPENI MISHAHARA WAFANYAKAZI WENU WANAADHIRIKA HUKU MITAANI.
Ilikuwa kimbelembele kutoa dividend kumbe haiwalipi wafanyakazi wake?
 
Back
Top Bottom