TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

mpapalika

Member
Joined
Jan 6, 2020
Posts
16
Reaction score
12
Mzee wangu amempangisha Mfanyakazi wa TTCL anayefanyia tawi la jirani na Kiwanda cha Sigara ambaye kila Mwaka ikifika December hulipa kodi yake bila usumbufu kwa miaka mitatu aliyokaa na sisi huku akiendelea na ujenzi wa nyumba yake huko mbagala Kongowe.

Tangu tarehe ya kodi ilipofika mpangaji wetu amekuwa na sound nyingi mara atalipa mwisho wa mwezi mara mwanzoni mwa Januari lakini hadi leo watoto wake wamfungua shule ameshindwa kuwapleka shule na hana dalili yopyote ya kuwapeleka shule.

Lakini jana jumapili tarehe 5 mzee na mimi tuliwendea na notice ya kutaka atuachie nyumba yetu maana mzee nae anategemea kodi hiyo hiyo ili apelike madogo shule lakini tulichokutana nacho kimetushangaza sana.

Mpangaji wetu alisema hawajalipwa MSHAHARA na mimi na mzee tulimbishia sana kwamba haiwezekani kampuni ya simu inatowa gawio hadi la shilingi Bilioni Mbili lishindwe kuwalipa mishahara.

Kwa kututhibitishia aliwapigia wafanyakazi wenzie kama watano kwa kuweka LOUD SPEAKER na wote hao kwa masikio yetu tulisikia wakiwa na malalamiko yanayofanana wakilaumu uongozi wa kampuni hiyo kuwatendea unyama kwa kutowalipa mishahara.

Wafanyakazi hao wengine walionekana ni wau wazima walikuwa wanalalamikia boss mmoja (jina kapuni kwa sasa) kuwa ni dikteta, hana utu na ana upendeleo wa kidini na ndiye anayefanya wafanyakazi wadhalilike mitaani.

Wafanyakazi hao kila mmoja kwa namna yake walilalamika kushindwa kuwapeleka watoto wao mashuleni, wengine kushindwa kulipa madeni wengine kodi za nyumba ilimradi kila mmoja na manung'uniko yake.

Kampuni ya simu inakumbushwa kuwa Wafanyakazi wanaishi kwenye jamii na hivyo wanajikuta wanapata usumbufu kutokana na kushindwa klipa madeni muhimu.

Isingekuwa huyu mpangaji kuwapigia wenzie hadi wa mikoani jana ilikuwa ni siku ya mwisho kukaa na sisi maana tulishamwambia dalali atutafutie mpangaji mwingine.

Mimi siamini kama TTCL inaweza kuwakalisha wafayakazi wake muda mrefu bila kuwalipa mishahara isipokuwa ni management kupuuza mchango wa wafanyakazi na kama walivyokuwa wakiongea kwenye simu kuwa wenyewe wanalipana mishahara mikubwa ya hadi shilingi Milioni saba kwa mwezi hawawezi kujali shida za wafanyakazi wanaopata shilingi laki saba kwa mwezi.

Mpangaji wetu leo hii watoto wake wawili wamshindwa kwenda shule hawana ada.

TTCL LPENI MISHAHARA WAFANYAKAZI WENU WANAADHIRIKA HUKU MITAANI.
 
Hili ulilosema litaonekana leo leo, maana kuna uzi mwingine unaohusu uzembe wa hospitali ya mloganzila, wahusika wamejitokeza. Ngoja tuone hatua stahiki. Mleta uzi usiache kuja kuleta mrejesho wakishalipwa. Haya ndio matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii.
 
Mzee wangu amempangisha Mfanyakazi wa TTCL anayefanyia tawi la jirani na Kiwanda cha Sigara ambaye kila Mwaka ikifika December hulipa kodi yake bila usumbufu kwa miaka mitatu aliyokaa na sisi huku akiendelea na ujenzi wa nyumba yake huko mbagala Kongowe.

Tangu tarehe ya kodi ilipofika mpangaji wetu amekuwa na sound nyingi mara atalipa mwisho wa mwezi mara mwanzoni mwa Januari lakini hadi leo watoto wake wamfungua shule ameshindwa kuwapleka shule na hana dalili yopyote ya kuwapeleka shule.

Lakini jana jumapili tarehe 5 mzee na mimi tuliwendea na notice ya kutaka atuachie nyumba yetu maana mzee nae anategemea kodi hiyo hiyo ili apelike madogo shule lakini tulichokutana nacho kimetushangaza sana.

Mpangaji wetu alisema hawajalipwa MSHAHARA na mimi na mzee tulimbishia sana kwamba haiwezekani kampuni ya simu inatowa gawio hadi la shilingi Bilioni Mbili lishindwe kuwalipa mishahara. Kwa kututhibitishia aliwapigia wafanyakazi wenzie kama watano kwa kuweka LOUD SPEAKER na wote hao kwa masikio yetu tulisikia wakiwa na malalamiko yanayofanana wakilaumu uongozi wa kampuni hiyo kuwatendea unyama kwa kutowalipa mishahara.

Wafanyakazi hao wengine walionekana ni wau wazima walikuwa wanalalamikia boss mmoja (jina kapuni kwa sasa) kuwa ni dikteta, hana utu na ana upendeleo wa kidini na ndiye anayefanya wafanyakazi wadhalilike mitaani.

Wafanyakazi hao kila mmoja kwa namna yake walilalamika kushindwa kuwapeleka watoto wao mashuleni, wengine kushindwa kulipa madeni wengine kodi za nyumba ilimradi kila mmoja na manung'uniko yake.

Kampuni ya simu inakumbushwa kuwa Wafanyakazi wanaishi kwenye jamii na hivyo wanajikuta wanapata usumbufu kutokana na kushindwa klipa madeni muhimu. Isingekuwa huyu mpangaji kuwapigia wenzie hadi wa mikoani jana ilikuwa ni siku ya mwisho kukaa na sisi maana tulishamwambia dalali atutafutie mpangaji mwingine.

Mimi siamini kama TTCL inaweza kuwakalisha wafayakazi wake muda mrefu bila kuwalipa mishahara isipokuwa ni management kupuuza mchango wa wafanyakazi na kama walivyokuwa wakiongea kwenye simu kuwa wenyewe wanalipana mishahara mikubwa ya hadi shilingi Milioni saba kwa mwezi hawawezi kujali shida za wafanyakazi wanaopata shilingi laki saba kwa mwezi.

Mpangaji wetu leo hii watoto wake wawili wamshindwa kwenda shule hawana ada.

TTCL LPENI MISHAHARA WAFANYAKAZI WENU WANAADHIRIKA HUKU MITAANI.
Haya ni maajabu, yaani POSTA wabeba barua wanamudu kulipa mishahara ila TTCL wazee wa 4G na kugawa gawio kwa serikali mnafeli!
Maajabu haya, RUDI NYUMBANI KUMENOGA!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekalia misifa ya kupeleka Gawio

system error occurred[emoji3544]
 
Ndio mwendo wa mashirika yetu hayo. Mengi yanafanyika pasipo kufuata taratibu. Niliwahi kuhoji kuhusu TTCL na kutoa gawio. Naamini kuna mengi tutayasikia toka ha
 
Ndio mwendo wa mashirika yetu hayo. Mengi yanafanyika pasipo kufuata taratibu. Niliwahi kuhoji kuhusu TTCL na kutoa gawio. Naamini kuna mengi tutayasikia toka ha
Hayo mashirika mengine haswa kipindi cha kutoa gawio
 
Mm nilijua wanawaonea wale freelancer WA kuuza laini maana nao wanachelewa kumbe WA ofisini pia hii hatari
 
Umesema jamaa anamalizia Nyumbani yake mbagala. Sasa sikia hii ila msimnyanyase jamaa! Mimi nilipopanga Sinza kabla ya kuhamia kwenye mjengo wangu, Mama mwenye nyumba alikuwa mgonjwa alipalalaizi upande mmoja. Huyo mama alikuwa Mfanyakazi benki zamani huko nyuma. Ana mtoto mmoja wa kike mapepe balaa. Huyo mama wakati naingia kwenye hiyo house 2010 alikuwa analelewa na mtoto wa dada yake ambaye alikuwa na duka hapo nje jamaa alikuwa hajaoa. Mtoto WA kike WA huyo mama aliolewa akaachika akakimbilia Tunduma huko. Amekaa huko 10yrs baadaye akagundua kumbe mama ana nyumba dar akaja, akamtimua huyo jamaa wa kiume. Huyo jamaa wa kiume sisi ndo tuliingia nae mkataba! Akaja kutushtua kwamba mambo yamebadirika mie sipo tena huyo mdada ndo incharge. Toka tumeingia kodi ilipandishwa Mara moja tu na ilifika 250k kwa mwezi. Jamaa akatuambia fanyeni mfanyalo hamieni kwenu au tafuteni nyumba Ya kukaa. Duh uzuri Nilikuwa tayari nimefikia kwenye lenta. Wakati huyu jamaa anakusanya kodi tulikuwa tunampa yoote Ya mwaka mzima. Lkn tulipoambiwa hayo tu nikamwambia wife tunamalizia nyumba yetu fasta achana na kodi. Mama Kaza roho ziba masikio. Kweli tuka paua Fresh, weka grils madirishani, mlangoni, miezi mitatu Dada anaona kimya, akapiga simu nikampa sound mwisho WA mwezi. Ilipofika mwisho wa mwezi nikamkamatisha laki nne hakuongea sana maana mie alikuwa ananiogopa. Hapo tunaendelea kumalizia house kwa kasi. Tukaenda naye hivyo na maneno maneno yakee mpaka tukafanikiwa kufika kiwango cha kuhamia. Tukatafuta pesa ilikuwa imebaki Kama laki saba, nikaenda na wife tukamkabidhi na siku hiyo hiyo Jioni tukaondoka yaani alichanganyikiwa. Tulikaa hapo 8yrs .sasa huyo jamaa atakuwa anafanya yake huku akiwatuliza kimtindo
 
Back
Top Bottom