Jitahidi usubirie ujumbe kuwa sasa umejiunga na kifurushi cha ....Kumbe huko nyumbani hapajanoga kama mnavotangaza?
Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.
Hakika huko kuna wizi wa kutosha. Sehemu kubwa ya kidurushi unajiunga unatakiwa kukitumia usiku kuanzia saa 4.00 hadi saa 12.00 asubuhi. Na kama ronpbo yake tu ndio unaweza kuitumia mchana. Hivyo MB chache za kutumia mchana zikiisha wanakukatia mawasiliano. Kuwa makini kuangalia mchanganuo wa bundle yako wanapokutumia sms baada ya kujiunga. Wizi wizi wizi kila mahali, am so dissapointed na hawa wanaojiita nyumbani. Hovyo kabisa. Nimejirudia zangu kwenye mitandao mingine. Nyumbani basi tena.Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.
Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "Whatsapp" na JF kwa mara chache na "Facebook".
Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "Whatsapp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.
Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!
Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!
Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.
Nimeachana na ttclWakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.
Nadhani tokea waanze kutoa gawio serikalini ukweli ni usumbufu mno kwenye matumizi ya mtandao. Mie kwenye simu yangu hujiunga kwenye T-Connect Plus kifurushi cha sh 3000/- cha 1 GB kwa wiki maana sina matumizi mengi zaidi ya "WhatsApp" na JF kwa mara chache na "Facebook".
Leo mchana mida ya saa nane nikajiunga na kifurushi hicho na kufungua "WhatsApp" tu kwa kutuma "document" na kuperuzi baadhi ya makundi bila kuangalia kideo chochote.
Kinachonishangaza, kupokea ujumbe toka TTCL ukiniambia 'Ndugu Mteja Umebakiza MB 50 tu za kifurushi chako cha wiki. ......' saa tisa na dakika arobaini na mbili mchana huu huu!
Jumbe hii niliisha ipokea hapo siku za nyuma, nilipowapigia wakaniambia ni makosa kwani mzigo bado upo. Leo naambiwa eti nimefungua na "You Tube" khaaaaaaa!
Inasikitisha mno kama ndo njia yenyewe hii ya ukusanyaji 'gawio' inatisha.
Wakuu, niliisha lalamika kuhusu mtindo wanaoufanya hawa TTCL kwenye 'DATA'.

Kumenoga karibuKumbe huko nyumbani hapajanoga kama mnavotangaza?

Taking all that into consideration TTCL Kwa internet bado sanaakuna factor nyingi za kumaliza MB zako kwneye simu na mostly huwa ni backgroud aplications pamoja na updates
huwa unazizima pia kuna zile auto download nazo ni shida na kama una magroup mwngi watu wanatuma video na picha nyingi na kama zote zinashuka auto basi MB haziwezi kukaa
Data usage unaijua jinsi inavyotumikakuna factor nyingi za kumaliza MB zako kwneye simu na mostly huwa ni backgroud aplications pamoja na updates
huwa unazizima pia kuna zile auto download nazo ni shida na kama una magroup mwngi watu wanatuma video na picha nyingi na kama zote zinashuka auto basi MB haziwezi kukaa
Huu mtandao upo slow sana kwenye internetHamia HALOTEL, fuluu naniliuuuu!!