TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Kwa Mimi nakupa ushauli tafuta modern au router za Smile.maana mm natumia smile mwaka wa 6 now.najiunga kifurushi cha 185,000 kwa mwezi ambacho ni unlimited maana nafikishaga Hadi 1Tb Kwa mwezi.na internet ipo fasta sana. Natumia Smart tv na ps5 console sijawai kuzima Internet. Mda mwengine unafika Hadi 21Mbps.
 
Hii smile nitaweza kutumia hata huku Mkata mashambani napokaa?!
 
Kwa Mimi nakupa ushauli tafuta modern au router za Smile.maana mm natumia smile mwaka wa 6 now.najiunga kifurushi cha 185,000 kwa mwezi ambacho ni unlimited maana nafikishaga Hadi 1Tb Kwa mwezi.na internet ipo fasta sana. Natumia Smart tv na ps5 console sijawai kuzima Internet. Mda mwengine unafika Hadi 21Mbps.
Smile hawapo kila sehemu
 
Copper unaielezaje?
Reliability?
Usage speed (Realistic)?
Installation (what needed)?
Sijawahi kuona ikikata kata uptime ni almost 99% issue inadrop speed mara kwa mara inabidi u restart router.

Speed realistic ni around 50 to 75% muda mwingi inakaa 2 to 3mbps kwenye kifurushi cha 4mbps.

Installation ni 55k kila kitu TTCL wanakupa, ila kama kuna uhaba unanunua mwenyewe vifaa, router, converter na cable ya kutoka converter kwenda kwenye router.
 
Kama graphics Designer natumia Hp Probook na simu tu, je unarecommend hii?

Kingine natumia kupakua Software, kuupdate PC, na movies.

Inanifaa au vipi?
 
Back
Top Bottom