Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kampuni ya Umma TTCL ni kwa nini mnakuwa masikini klk makampuni yasiyo ya Umma wakati ninyi ndiyo wenye nchi?
Msilale bhana sasa nawapeni ujanja fanyeni hivi ongeeni na Serikali ipige marufuku Makampuni yote ya simu kujijengea mikonga/minara yao badala yake ninyi mjenge minara ili kila Kampuni ya itumie minara yenu na kuwalipa, kwa kifupi muwe na monopoly hapa kwenye hili eneo na kamwe isiruhusiwe sijui Tigo au Voda kuwa na minara yao wenyewe hili linawezekana kabisa kama hamna fedha kopeni kufanikisha hili na hili litawanyanua!
Kwa kifupi ninachotaka kusema ni kwamba makampuni yote binafsi yalazimishwe kutumia miundombinu yenu na kuwalipa!