Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
Sijajua kama ni kwangu tu au ni vp, Nimezoea spidi ya 1MB kwa sekunde ila hapa kwa sasa jana na leo spidi ya kudownload imeshuka kwenda 60KB kwa sekunde, Nimezima updates.
Bando linalotumika ni lile la buku unapewa MB 500 mchana na kuanzia saa 2 usiku GB 3.5 hadi kukuche
Kwenu hali ipoje.
Bando linalotumika ni lile la buku unapewa MB 500 mchana na kuanzia saa 2 usiku GB 3.5 hadi kukuche
Kwenu hali ipoje.