The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,436
- 17,082
Taiwanese Semiconductors Manufacturing Company au TSMC ndio kampuni maarufu inayotengeneza chipset za simu za kiwango cha juu au flagship phones kama Huawei P40 Pro, Iphone 11 Max Pro, Samsung S20 Ultra, Note 20 Ultra na kadhalika.
TSMC inasema imeanza kutengeneza chipset za 3nm zitakazoanza kutumika mwakani na kampuni za simu za viwango vya juu.
TSMC tayari inatengeneza chipset za 5nm kwa simu zitakazotoka mwaka huu labda na mwakani mwanzoni. Sehemu kubwa 5nm chipsets tayari zimenunuliwa na Apple na Huawei. Hivyo tutegemee Iphone 12 kua na speed na performance kubwa sana. Samsung wao mwaka huu simu zao zote ni 7nm ambayo nadhani Apple wataachana nayo.
Joking: wakati watu mwaka huu watatumia simu zenye chipset ya 5nm sisi wa tecno bado tuko double digit ya 15nm na flagship brand zetu za tecno canon 7 pro😂😂.
Nyongeza kwa wasiofahamu, simu ama processor ya simu inapokua na nm au nanometer chache ndio inakua bora zaidi kwa sababu inakua na kasi kubwa na nzuri. The smaller the number of nm the better. Simu yenye nm 10 ni bora kuliko yenye nm 12 au 15, yenye nm 5 ni bora kuliko yenye nm 7, nm 3 bora kuliko nm 4, 5 na kuendelea.
TSMC revealed some details of its 3nm process - Gizchina.com