YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 800
- 1,394
Habari mdau ifuatayo ni meseji ya kampuni moja hapa nchini ikitoa taarifa kwa wafanyakazi wake baada ya malipo kuchelewa.
Let it be Kampuni X
"HABARI TIMU, TAARIFA MUHIMU!
Kuna ucheleweshaji wa mishahara kwa wafanyakazi wanaolipwa kila mwezi. Kampuni X imeshafanya malipo ya Dola za Marekani kwa benki, lakini benki haina Shilingi za kutosha kubadilishana kutokana na changamoto zilizokuwa nje ya uwezo wetu Kwa sababu hiyo, mishahara haijatolewa bado.
Kwa sasa, hatujapata tarehe rasmi kutoka benki, lakini idara ya fedha inaendelea kufuatilia suala hili kwa karibu. Tunaomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu wakati mchakato wa malipo ukiendelea kufuatiliwa." Mwisho wa kunukuu.
Swali likaibuka inawezekanaje benki kuishiwa currency ya nchi yake??
Wenye uzoefu wa mambo ya pesa watusaidie tuelewe?
Note; hii ni solved issue