nani mkweli baina ya BOT na international data
Kuwa sahihi au kutokuwa sahihi inategemea na aina ya muamala unataka kufanya.
- Iwapo ni ndani ya nchi BOT itakupa usahihi zaidi wa
kadirio tarajari pindi ukifika benki au sehemu ya
kubadilishia fedha.
- Na iwapo unafanya muamala nje ya nchi (
International ) rate za BOT hazitokuwa sahihi.
Mfano
- Iwapo muamala utahusisha paypal tarajia rate ya $1 = TZS. 2,384 au zaidi
- Iwapo utafanya muamala amazon rate muda huu ni $1 = TZs
2,444.25 ( Huu muamala amazon nimefanya muda huu)
Hivyo tumia rate za google au BOT
just for reference ila
uhalisia utaupata pindi umefika benki kubadilisha fedha au utakapo fanya muamala mtandaoni.
Nimetoka barclays mida hii nikashangaa jinsi tsh. Ilivyoshuka aise
Kama alivyofanya hapa huyu ndugu.
Rutunga M