1980s 1US Dollar ilikuwa tsh 5 Nauli Dar - Iringa tsh 85,000 Leo 1US Dollar ni tsh 2490 Nauli Dar - Iringa tsh 33,000. Uchumi unapaa au unashuka?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,022
Kwa kuwa mimi nasafiri kila wiki Nauli imekuwa ni Sehemu ya maisha na Uchumi wangu binafsi

Kiuhalisia Nauli iwe ya basi, lori, trekta, Meli nk zinachangia sana upangaji wa bei za bidhaa hivyo Nauli hugusa maisha ya kila mtu hata kama hujawahi kusafiri

Kwa data za Kwenye heading kwamba 1980s Nauli ilikuwa tsh 85 huku usd ikiwa tsh 5 na sasa usd ni 2490 huku Nauli ni tsh 33,000 naomba sasa Swali langu lijibiwe, Uchumi unapaa au unashuka?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀

cc: Bwashee Retired - Machame
 
Pia usisahau kuwa dollar 1 miaka 1980s ilikuwa na thamani ya dollar 3.75 ya sasa.
 
Kwa kuwa mimi nasafiri kila wiki Nauli imekuwa ni Sehemu ya maisha na Uchumi wangu binafsi

Kiuhalisia Nauli iwe ya basi, lori, trekta, Meli nk zinachangia sana upangaji wa bei za bidhaa hivyo Nauli hugusa maisha ya kila mtu hata kama hujawahi kusafiri

Kwa data za Kwenye heading kwamba 1980s Nauli ilikuwa tsh 85 huku usd ikiwa tsh 5 na sasa usd ni 2490 huku Nauli ni tsh 33,000 naomba sasa Swali langu lijibiwe, Uchumi unapaa au unashuka?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀

cc: Bwashee Retired - Machame
1980 Dar kwenda Tanga kwa usafiri wa yarabi salama ilikuwa ni safari ya usiku mzima leo ni masaa matatu umeshafika.

1980 hii miji ya sasa yote yalikuwa ni mapori matupu, hapakuwa na bima za afya za aina yoyote ile.

Huu uzi ni wa malalamiko bila ya kupima tofauti ya miaka 43 iliyopo hivi sasa.
 
Wacheni porojo porojo.

Wengi wenu ni keyboard warrior tu. Hata kutoa nauli ya kutoka posta kwenda kivukoni hamjawahi kutoa, mmjezana kwenye viyoyezi vya MaV8 na Mabilionea wenu? Mnabisha, weka tikiti yako uliyolipia wiki hii tuone!
 
Kwa kuwa mimi nasafiri kila wiki Nauli imekuwa ni Sehemu ya maisha na Uchumi wangu binafsi

Kiuhalisia Nauli iwe ya basi, lori, trekta, Meli nk zinachangia sana upangaji wa bei za bidhaa hivyo Nauli hugusa maisha ya kila mtu hata kama hujawahi kusafiri

Kwa data za Kwenye heading kwamba 1980s Nauli ilikuwa tsh 85 huku usd ikiwa tsh 5 na sasa usd ni 2490 huku Nauli ni tsh 33,000 naomba sasa Swali langu lijibiwe, Uchumi unapaa au unashuka?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀

cc: Bwashee Retired - Machame
Ebu nenda kwenye mkeka wa wenye mamlaka za nauli angalia nauli ya Dodoma-Iringa halafu angalia pia Dodoma-Mbeya.

Kwenye swali la msingi uchumi umeshuka ila pia buses ni nyingi na magari aina nyingine km binafisi, Lory bila kusahau mwewe.
 
Kwa kuwa mimi nasafiri kila wiki Nauli imekuwa ni Sehemu ya maisha na Uchumi wangu binafsi

Kiuhalisia Nauli iwe ya basi, lori, trekta, Meli nk zinachangia sana upangaji wa bei za bidhaa hivyo Nauli hugusa maisha ya kila mtu hata kama hujawahi kusafiri

Kwa data za Kwenye heading kwamba 1980s Nauli ilikuwa tsh 85 huku usd ikiwa tsh 5 na sasa usd ni 2490 huku Nauli ni tsh 33,000 naomba sasa Swali langu lijibiwe, Uchumi unapaa au unashuka?

Mungu wa Mbinguni awabariki 😀

cc: Bwashee Retired - Machame
Mwigulu anasemaje,?
 
Uchumi haushuki, UNAPOROMOKA.

Negros tuna matatizo ya dunia yoote,
Kipindi cha miaka hiyo sisi na kina vietnam na wenzie tulikuwa uchumi sawa, sasa hivi wametupiga magep makubwa tu
 
Kama huo uchumi unaPAA basi PAA lenyewe ni la makuti. 😂🤣

Tena kipindi hicho njia mboovu ila nauli ni 1usD, sasa hivi njia saafi ni zaidi ya dola 10+ za kimarekani, tunarudi nyumba badala ya kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom