Tsh yaporomoka hadi 2,310 BOT yadai ni 2,271

nani mkweli baina ya BOT na international data
Kuwa sahihi au kutokuwa sahihi inategemea na aina ya muamala unataka kufanya.
- Iwapo ni ndani ya nchi BOT itakupa usahihi zaidi wa kadirio tarajari pindi ukifika benki au sehemu ya kubadilishia fedha.
- Na iwapo unafanya muamala nje ya nchi ( International ) rate za BOT hazitokuwa sahihi.

Mfano
- Iwapo muamala utahusisha paypal tarajia rate ya $1 = TZS. 2,384 au zaidi
- Iwapo utafanya muamala amazon rate muda huu ni $1 = TZs 2,444.25 ( Huu muamala amazon nimefanya muda huu)
1547816009440.png


1547816059363.png

1547816214206.png


Hivyo tumia rate za google au BOT just for reference ila uhalisia utaupata pindi umefika benki kubadilisha fedha au utakapo fanya muamala mtandaoni.
Nimetoka barclays mida hii nikashangaa jinsi tsh. Ilivyoshuka aise
Kama alivyofanya hapa huyu ndugu. Rutunga M
 
Bad news

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Hata yeye aliyesema tutasoma namba, bila shaka na yeye anasoma. Nimetoka barclays mida hii nikashangaa jinsi tsh. Ilivyoshuka aise

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ya madafu hii jmn msishangae

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom