Tsh trilion 1 Hustle Fund ya Dr Willian Samoe Ruto

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Wakuu William Ruto aliahidi kwamba wale mahustle wangekuwa na pesa ya kukopa ili kuwaeupusha kwenda kukopa mitaani kwa riba kubwa ambazo zinawaumiza sana.

Hii ilionekana ni siasa ila jamaa yuko very Serious, na Implementantion yake pia inaweza kuwa ni the best kabisa kama ile mifumo ya Brazili ya kuondoa umasikini.

Mwezi huu tarehe 31 anazindua huo mfuko kwa kuanzia na Tsh trilion 1, hizi ni pesa nyingi sana kumbuka hata Benki yetu ya kilimo sidhani kama ina huo mtaji, ni.mtaji mkubwa sana kwa watu wa chini.

Kilicho fanya hata Bill Gate kaifagilia ni model ya utoaji wa hio mikopo.
Kwanza hakutakuwa na Dhamana na pili hakutakuwa na kamati ya kukaaa itoe mikopo.

Serikali ya Kenya itatoa hio mikopo kwa kushirikiana na Mabenki na Kampuni za simu basi. Maana yake hakutakuwa na:
- Mkt wa kijiji au kitongoji
-Balozi
- Mtendaji

Na Ruto alijua kuweka hii milolongo kungetengeneza rushwa za kufa mtu na upigaji wa kufa mtu.

Na hii mikopo ni kwa ajili ya wale watu wa chini kabisa wanao jishughulisha na biashara ndogo sana za mitaji midogo mno.

Turudi kwa Ile Mikopo ya Halimashauri, ile ni full siasa, na full urasimu wa kufa mtu.

Model ya Ruto kama ita fanya vizuri inaweza kuja kitumiwa na Serikali zingine au taasisi zingine Duniani kwenye kutoa mikopo kwa watu wa tabaka la chini
 
Uzuri vitambulishoa vyao vinafanya kazi kweli sisi vya kwetu na kusajiliwa bado wezi wanawapiga watu na hawakamatwi.
Ila kenya wako safi katika kuanzisha vitu vitu fulani
 
Back
Top Bottom