Try your JF name in JAPANESE.. Its funny.....

Try your JF name in JAPANESE.. Its funny.....

Noshikuchika........konichiwa!!
 
Kalushitekutodaki..........kuda deki
Silitaki
....
...
 
<br />
<br />

Hahahahahahaa BAK umenichekesha sana.


Hahahahahah lol! Aisee inachekesha sana lol! Sasa jaribu kuweka kwa jina la ukweli LOL!
 
ridododa aridoshika....hiki hakiwezi kuwa kijapenga!nimesanuka hata silitaki afadhali nijiite kidhungu FACE SELLER
 
Jitamotudo. Haaah haah. Japanes bana.
 
Nimelipenda la kwangu maana ni ( TEKUSHIKIRINCHIMO) Hiyo ndiyo maana ya Derimto yaani mpaka raha kuanzia leo nabadilisha ID
 
Back
Top Bottom