Try to adapt Barcelona Style in your Relationship..

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,605
Niaje wadau?

Nina imani wengi wanaifahamu barcelona, hivi kwa nini msifanye relationship zenu ziwe kama barca,, jamaa ni zaidi ya familia, hata wakifungwa wanatoka wote vichwa chini na huzuni hakuna kulaumiana, wala kupondana,, husikii drama kwenye training, sijui watu wametoroka mazoezi, kuchukuliana wanawake wala nini,,

Wanabaki pamoja wanateteana kila kitu hata kama mwenzao amekosea (zile wakijiangusha) wenyewe wanapendana.. Yaani ni more than a family,,

Binafsi siwapendi kisoka maana wanaifungaga man utd yangu but napenda life style yao as a team,, natamani hata ndoa yangu iwe kama barcelona.. Tukifulia tusikitike pamoja na tuki shine napo tufurahi pamoja,, tuteteane na wife hata kwenye ujinga ile unajua kabisa hapa wife kakosea lakini unakuwa upande wake, tusiwe na drama in the house, tupendane on and off the pitch

Yaani jana naona kabisa the Feeling anayo feel messi baada ya kufungwa ni sawa sawa na anayo feel Alba au sanchez japokuwa wao na messi ni class tofauti, all team wanatoka wanyonge, no kulaumiana wala nini hadi wachambuzi wa super sport kina mark fish wakakubali hii ni Discipline that every human being must have on his house..
 
Unaweza fanya familia yako ikawa hivyo
Ni kuwa muwazi tu na kuwafunza watoto kuwa 'family first' vingine vinafuata.
 
Mimi muundo wangu unafanana sana na Amavubi.......hivyo hivyo.......Au ni mpaka niwe kama Barca ndio itanoga........?
 
mkuu MKATA KIU hapo kwenye red kuna watu wa upande wa pili watakupinga sana ......hawatakubaliana na wewe kabisa......wanasumbuliwa na U- lara 1 -ISM
 
Aaaaaaaaah wapi! Mwendo wa Mario Balotelli, Roberto Carlos na Ika Casilas style tu! Hapendwi mtu! Ukimwaga mboga mimi namwaga ugali.
 
mkuu MKATA KIU hapo kwenye red kuna watu wa upande wa pili watakupinga sana ......hawatakubaliana na wewe kabisa......wanasumbuliwa na U- lara 1 -ISM

Kubwa la Maadui siwezi kukubaliana na ideology za kicommunist kama hizi za Catalunya! Dunia ni capilistic! Every body for himself and God for us all! Baaaaaaaaaaaaass! FACE THE FACTS GUYS!
 
hahahaha topics za jioni bana, raha tupu
 
Tofauti ya Barca na timu nyingine ni kuwa Barca wana enjoy good football..
kwao football ni kama music hivi...
sio just winning tu like Man U....
lazima uoneshe ufundi,ushinde na kuonesha watu unaujua...Barca wanna 'CLASS'

na sometimes 'CLASS ' ni ngumu ku foji....
hasa kama uko desperate to win...
 
Kubwa la Maadui siwezi kukubaliana na ideology za kicommunist kama hizi za Catalunya! Dunia ni capilistic! Every body for himself and God for us all! Baaaaaaaaaaaaass! FACE THE FACTS GUYS!
hizi mbwembwe tu...ni kauli za makapela ....wakiingia kwenye ndoa habari hubadilika......NDOA NDOANO.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…