Try this, you will enjoy!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Its realy FUN!! Take you phone, switch it to Vibrate mode then put it into water, after there call from siting room, surely your phone will start swiming.
 
hahaaaaa yangu naona ina-dive na kutoka kisha inapunga mkono juu, ngoja niitoe kwanza naona kuna mtu ananipigia ila haka kamchezo nimekapenda sana tena ningefurahi kama umeme ungekatika tena asa ivi ili niendelee maaana nimepata kitu cha kuni-keep busy hadi wife naye ka-join hapa. Asante sana Mpendwa
 
I real enjoyed it, very funy but my phone did not came at the top, mmeniponza mwenzenu mbona imezima na haiwaki tena? Nokia yangu jamani!!!
 
hahaaaa, yangu imegoma kabisa kutia mguu kwenye maji, inaogopa kuliwa na samaki
 
Back
Top Bottom