Truth or.......!!!!

Sorry for the mistake above!Ilitakiwa iwe.."We know we making the right choices"
 
mhm aibu...right choice kivipi??? maana right choice zipo nyingi kulingana na situation. marry a rich gal while am on the way to fulfilling my dreams maybe the right choice over a true love....so right choice ipo vague bana
 
How can it be....as far as understanding your potential lies to negative??

Don't expect happiness from anyone coz they expect the same thing from u too!So nani atatoa na nani atapokea?
 
Mzabzab,right ni right tu,haijalishi unapenda au kinyume chake,kuoa mwanamke tajiri kwa sababu ya utajiri sio sahihi coz utajiri has nothing to do with relationship,mahusiano unapochanganya na vitu vingine lazima yatakufa tu,na hapo ndipo utakuja kugundua ulifanya uchaguzi mbaya na maumivu huanza!
 
Who gets to set the standard for "right" choice? What is the verification means?
Unaujua wimbo wa the gambler

Gud mrng!.....Uchaguzi "mbaya" hudhihirishwa na vitu viwili,uhalisia na matokeo ya uchaguzi,uhalilisia ni ile hali ya uhalisi wa jambo,lakini matokeo yanaweza kuwa tofauti kidogo na yakaenda kama aliefanya alivyotaka,japokua wakati mwingine huwa kinyume chake,mfano,mahusiano na fedha havina mahusiano,mtu anaweza kuoa/olewa kwa misingi ya fedha ili nae aendeshe gari,kweli ataendesha gari lakini ndoa itakufa tu.Hivyo malengo au matokeo yamekuwa kama alivyotarajia lakini uhalisia umekata na kufanya ndoa ife!
 
There is no road to happyness, happyness IS the road. Tread it!

Ufahamu ndo njia pekee ya kukupatia furaha.Ukijua furaha inapopatikana unakua umejua njia ya kukufikisha kwenye hiyo furaha.Furaha imo ndani yako,haiko kwa mumeo/mkeo,rafiki,pesa,ndugu,nyumba nzuri,magari ya kifahari au vitu vyote vilivyo nje yako,furaha iko ndani kwenye utu wako pia huwezi kunyang'anywa na YOYOTE labda utake wewe!
 
[h=2][/h]
Marriage was not created to make us happy.Our happiness comes because we know make we making the right choices,even if they hurt us sometimes!

FALSE...............................bad marital companion will eat away your happiness too.........................so, marriage is also a decision, too............
 
Back
Top Bottom