Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
hili hapa pia nilitaka kuliandika ila sasa nikaona hadithi itakuwa ndefu sana na kuwachosha wasomaji.Kuna mwingine anadanganya kwenye simu tena bila aibu yupo kwenye dala dala anakuja ubungo utasikia niko kariakoo kumbe yupo mbagaraa
ha haaa, siku moja nimemwambia hubby naenda disco na rafiki zangu, wakati huo yeye alisafiri. basi usiku wa manane tunajirusha zetu hubby anapigiwa simu "namwona shem hapa ........ upo naye?" Imagine ningekuwa sijaaga ingekuwaje?Nilishasema sisemi uongo usio na tija, maana nikikudanganya ni sign kwamba nakuogopa; so kama kungekuwa na uwezekano wa kumdanganya Mungu (ninayemuogopa) huenda ningefanya hivyo lakini there is now way naweza mdanganya yeye anijuaye kuliko ninavyojijua mwenyewe. Hivyo sioni na sitakaa kuona umuhimu wa uongo uso na faida. halafu kwenye mahusiano, mimi naamini ni vyema mtu akujue tangia mapema udhaifu na mapungufu yako ili afanye informed decision lakini pia inakusaidia wewe usiishi maisha ya kupretend.
Nilishasema sisemi uongo usio na tija, maana nikikudanganya ni sign kwamba nakuogopa; so kama kungekuwa na uwezekano wa kumdanganya Mungu (ninayemuogopa) huenda ningefanya hivyo lakini there is now way naweza mdanganya yeye anijuaye kuliko ninavyojijua mwenyewe.
Hivyo sioni na sitakaa kuona umuhimu wa uongo uso na faida. halafu kwenye mahusiano, mimi naamini ni vyema mtu akujue tangia mapema udhaifu na mapungufu yako ili afanye informed decision lakini pia inakusaidia wewe usiishi maisha ya kupretend.
Da Mdogo MJ1, kwanza salamu zako sana toka kwa FirstLady1 hapo juu.... ujue tunakumiss sana......Da Mkubwa @FP........... mada nzuri sana. Ninaomba kusema kitu kimoja tu, inapofikia mtu anamdanganya mpenzi wake kwa mambo ya kawaida kama uliyoyataja hapo juu jua kuwa tatizo linawezakuwa kwa mpenzi wake ambaye pengine sio mwelewa. Mara nyingi unapokuwa na mtu ambaye sio mwelewa, mwenye wivu na mafikra yake na ambaye anaamini kila akiwazacho yeye ndio sahihi, basi mahusiano huwa magumu sana hata ufanyeje kumu-assure inakuwa kazi bure. Mie nakumbuka niliskhawahi kuwa na mtu ambaye for no reason aliamua tu nisiwe nakwenda nyumbani kwetu kusalimia. Yaani bila kuambiwa kuwa kuna mgonjwa basi hakuna kwenda na hata ukimwelewesha vipi ukienda ukirudi ni ugomvi. Mwishowe nlijikuta kila mara nilitamani kumsalimia mamangu, natafuta mtu wa kumwuuguza..leo baba anaumwa, kesho mama hajisikii vizuri kesho kutwa mdogo wangu ni mgonjwa mpaka pale nilipoamua basi kama n'mbwai nmbwai....ntawauguza mpaka lini. Ikafika tu mahali nkawa namwambia leo nakwenda msalimia mama, akiprotest bado ninakwenda ila ndio najiandaa na vagi la kufa mtu......................
ha haaa, siku moja nimemwambia hubby naenda disco na rafiki zangu, wakati huo yeye alisafiri. basi usiku wa manane tunajirusha zetu hubby anapigiwa simu "namwona shem hapa ........ upo naye?" Imagine ningekuwa sijaaga ingekuwaje?
Kweli Kaunga, huo uongo anaoongelea FP hauna tija kabisa....
Ila nilishasema kwamba, uongo mtakatifu au kutosema baadhi ya mambo ni vitu vya muhimu na haviepukiki katika mahusiano.
Mfano, kwa nini umweleze mpenzi wako kwamba umekutana na ex-BF/GF mahali wakati unajua itamuumiza?
Kwa nini umweleze kuwa utapita kwa rafiki yako John/Amina wakati unajua hampendi?
Babu DC!!
ha haaa, babu huo uongo usio na tija ndo haswa ninaotamani kuujadili hapa.....Kweli Kaunga, huo uongo anaoongelea FP hauna tija kabisa....
Ila nilishasema kwamba, uongo mtakatifu au kutosema baadhi ya mambo ni vitu vya muhimu na haviepukiki katika mahusiano.
Mfano, kwa nini umweleze mpenzi wako kwamba umekutana na ex-BF/GF mahali wakati unajua itamuumiza?
Kwa nini umweleze kuwa utapita kwa rafiki yako John/Amina wakati unajua hampendi?
Babu DC!!
ha haaaa, mlikosa wote, ndo cost ya urafiki hiyo.......Umeona eeh, yaani ukweli unakuweka huru kabisa yaani. Hii ilitokea nilienda Bujumbura na rafiki zangu, mmoja wa rafiki ni mume wa rafiki yangu. Badi baada ya muda, shosti wangu anaambiwa, Kaunga alienda kuspend weekend na mumeo...Yaani tulicheka tu, maana hakujua kazi yangu kule Buja ilikuwa ni pamoja na kukaba hadi penati ili watoto wa kitusi, wasipate nafasi; ingawa ilinicost maana naye alinikaba nisizile za mapedejee wa kikongo. LOL
Yes kuna kweli zingine ni very unpleasant au damaging. Mzazi mwenzangu aliniambiaga baada ya kuona jinsi gani nilivyohonest kuwa "kutosema ukweli wote hakumaanishi unasema uongo", so kwa couple sio vizuri kudig sana past za mtu maana waweza sababisha akudanganye kwa ajili ya kuprotect relationship yenu. Kuna vitu kama mtoto ni muhimu kuuliza lakini sijui umeshatembea na wanawake wangapi it is irrelevant IMO.
ha haaa, babu huo uongo usio na tija ndo haswa ninaotamani kuujadili hapa.....
unajua tunaweza ona hauna tija lakini labda sababu za huo uongo zina tija..... ndo maana nauliza kwa nini uuseme huo uongo ambao unaonekana kabisa hauna tija?
kama mwenzio hapendi wewe uonane na John, unadanganya na unaenda kumwona John, akigundua ulienda kumwona itakuwaje?
Umeeleza kwa kirefu sana rafiki na mengi ni ya msingi.......Hakuna mtu ambae hapendi trust kati ya mahusiano. Kila mmoja anapenda siku zote aambiwe ukweli. Upande wa mahusiano kutokuwepo na trust (nazungumza strictly nje ya) husababishwa na aidha mtu wako mwenyewe ama wewe mwenyewe. Kuna mwingine kweli anaweza sema anapenda awe anaambiwa ukweli no matter what! Cha ajabu ukweli ukitoka hapo si Drama hiyo itakayofuata - Kiasi kwamba huyo mtu anajuta anaona heri kuongopa. Take note sihalalishi kukosekana kwa uaminifu, ila najaribu kueleza why kwa wengine hua hawawi waaminifu.
Kikubwa cha kuelewa mahala ambapo hakuna trust ni ‘Kwa nini huyo mtu asiwe wazi na aongope katika suala ambalo ni la kawaida?"
Kukosekana kwa uaminifu kwa misingi ya wewe (ulie mpenzi wake)
Mara nyingi kuna masuala ambayo kimsingi ukiyaangalia yanaonekana madogo sana. Kama mfano uliotoa kwa kujifanya waenda Sokoni na hali waenda Salon. Hapo ni wazi kuwa sababu kubwa moja wapo inaweza kuwa huyo mwanamke huwa na matumizi makubwa na kuwa moja ya eneo ambayo anatumia sana pesa ni Saloon. Na wajua siye wanawake, kuna style inakuhiraji uende Saloon walau mara tatu kwa wiki. Inapotokea J/2 ulienda Saloon, J/5 ulienda Saloon na Leo Ijumaa unataka kwenda Saaloon na pengine ulishawahi ongea na mtu wako safari za Saloon zipungue (or hata hamjawahi ongea but wajishuku); the safest unaweza kuaga ni kuwa unaenda Sokoni badala ya Saloon.
Yes kaongopa it's a bad thing, but ukiliangalia kwa upande mwingine unatkuta anaongopa tokana na kuwa Mpenzi wake kamuona si mwelewa, ama tu hataji kuonyesha ni to what extent hilo tendo la Saloon limepewa kipaumbele na the like.
Uongo wa disaini hii kati ya wapenzi wengi hauepkiki.
Kukosekana kwa uaminifu kwa misingi ya mpenzi wako
Kuna wengine siku zote wao kuongopa ama kutokuwa wazi ni hulka yao… Tena pengine inasukumwa saana na selfishness.. Kutotaka ajue vitu vyote anavyomiliki, Kutoka ajue wapi hua anaenda, kutoka ujue tu kwa sababu yoyote ile! Na mara nyingi pia pamoja na kuwa cheating imetolewa katika kuelewa kukosekana kwa uaminifu wa hivi – Mara nyingi cheating ndiyo sababu kubwa sana ya wapenzi kuwa waongo kwa wenza/partners wao.
Mfano kama mliwahi gombana kwa ajili ya mtu uliyemhisi ana interest na huyo mtu anafanya Hotel Magongo, siku akiwa Hotel Magongo si rahisi kusema kuwa yupo hapo. Ama anapokuwekea silent simu ama kutoweza kupokea sababu yupo faragha na mpango wa kando akipokea hawezi sema nilikuwa faragha, atasema lingine lolote ambalo mpenzi wake atalikubali bila shida.
ha haaa, ndo maana sikutaka kabisa kuzungumzia uongo kuhusu mipango ya kando..... kwenye hilo, wooooteeeee tunasema uongo. siwezi kubali kwa mpenzi wangu kuwa nina mpango wa kando, labda anikamate, lol!Yes kuna kweli zingine ni very unpleasant au damaging. Mzazi mwenzangu aliniambiaga baada ya kuona jinsi gani nilivyohonest kuwa "kutosema ukweli wote hakumaanishi unasema uongo", so kwa couple sio vizuri kudig sana past za mtu maana waweza sababisha akudanganye kwa ajili ya kuprotect relationship yenu. Kuna vitu kama mtoto ni muhimu kuuliza lakini sijui umeshatembea na wanawake wangapi it is irrelevant IMO.
ha haaa, babu huo uongo usio na tija ndo haswa ninaotamani kuujadili hapa.....
unajua tunaweza ona hauna tija lakini labda sababu za huo uongo zina tija..... ndo maana nauliza kwa nini uuseme huo uongo ambao unaonekana kabisa hauna tija?
kama mwenzio hapendi wewe uonane na John, unadanganya na unaenda kumwona John, akigundua ulienda kumwona itakuwaje?
na hilo swali kama kuna mwanamke anajibu ukweli basi huyo kabarikiwa.......Hilo swali kama kuna mwanamume haulizi basi huyo kabarikiwa....
Ila mwisho wazi huwaumiza sana rohoni....from the man's perspective..!
Babu DC!1
Hivyo sioni na sitakaa kuona umuhimu wa uongo uso na faida. halafu kwenye mahusiano, mimi naamini ni vyema mtu akujue tangia mapema udhaifu na mapungufu yako ili afanye informed decision lakini pia inakusaidia wewe usiishi maisha ya kupretend.