Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hahahaaaaa wifiiiiiiiWe acha kunichonganisha na my wii..
Hahahaaaaa wifiiiiiiiWe acha kunichonganisha na my wii..
Hahahaha! Erick hufai walah tena, kuna soko la VIP?.??..Jumapili ni la VIP kama nyinyi
wifi unaujua uchungu wa mme wewe!! Yaani nikuachie tu hivi hivi.
Na sahivi ngoja niongeze malavidavi maana competition ishakuwa kubwa.
Hajaona mashairi eeh? Mwache azubae mwenzie anamwaga tu mashairi Uporoto anajisogeza kama mbwa ajisogezavyo kwa chatu lol.Aaaaah we humjui Kaby?
Ana mbinu kali kama Osama wakati ule Lol ukizubaa itakula kwako
Halafu nashangaa na wivu wote huo jamaa anawezaje kuiba?
Hahahaaaa hujui? au hujawahi kulisikia?Hahahaha! Erick hufai walah tena, kuna soko la VIP?.??..
Hehehe! Mbichwa huoooo...lol. Nashukuru b52! Kaby ajinyonge tu!
Hahahaa siku hizi watu wanaanzaga honeymoon then baadae ndo wanapeleka mahari....lolsikumpa mchezo ndo maana nishagundua nilimwambia asubiri mpaka marriage
Uwii sasa tufanyeje wifi?..
Hahahahaaaa kwanza hii thread km ameisoma tu atagundua kuwa Kaby ni noma...yan ana mbinu kali sanaHajaona mashairi eeh? Mwache azubae mwenzie anamwaga tu mashairi Uporoto anajisogeza kama mbwa ajisogezavyo kwa chatu lol.
Hahahahaaaaa majungu hayo....hahahaaaa nimeahirisha ntawapeleka DIK DIK
mimi huwa naenda kwa mkataba,na mkataba na excellent uliisha,sasa uporoto sijui kafupisha?khaa
Unaona matokeo ya kuokota wanaume walio na mapenzi ya dhati....mpe sasa aache kutangataangasubirii nishapigiwa simu uporoto kaonekana na shangingi kino huku,ndo navalia bukta yangu niende
Kama ni hivyo mwambie asije lol. Khaaa anatuonaje tule nyama za mnadani? Kwanza sie twaja jpili, kwani soko la Tengeru ni jpili wifi?
Si ni pale USA kwa Legangando wapi huko?jina lenyewe limentisha
mwambie huyo, hajui mume wa mtu sumu. Atakojoa dagaa.
Hahahaaaaa hapo ngoja si tukae pembeni kwanza mmalizane aisee..hata kwangu mkataba ulikuwa mfupi bhana,umenikatisha mautamu gafla
Aaaaah we humjui Kaby?
Ana mbinu kali kama Osama wakati ule Lol ukizubaa itakula kwako
Ulivomtaja nitonye mapigo ya moyo yamebadili mwelekeo ghafla... Ntampata wapi jamani?Hahahaa siku hizi watu wanaanzaga honeymoon then baadae ndo wanapeleka mahari....lol
Ni kama Cantalisia na Rejao au SweetLady na HB Nitonye
Jumapili ni la VIP kama nyinyi