Trust Again in a Man.

Hehehe! Nikisema mimi naambiwa wifi hunipendi...

afu ujue toka majuzi kakako alivoenda kwenye zarura hajarudi mpaka wa leo? Nzuri zaidi hata simu yake haipatikani...

kama uporoto hapatikani kabisaa yani mpaka naumwa kichwa jamani
 
kama uporoto hapatikani kabisaa yani mpaka naumwa kichwa jamani
Na huwezi kumpata saa hizi....utakuta keshaenda mahali....halafu mbona akiwa hapatikani na nanii pia hapatikani?kunanini?
 
na awe ameshaagiza nyama choma na ndizi
Mtakuja nazo huko huko....kwanza jumamosi ni mnada Tengeru..hahahaha aa tunaanzia pale kwanza kwa nyama za wamasai lol km una kinyaa inakula kwako
 
Hahahahaaa sasa ndo muongee na swahiba wetu Kabakabana muweke mambo sawa coz mikataba ya Kaby siielewi

,hata wewe naweza kukutumia proposal kama unataka kuielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…