Ile loan wamesema watatoa nekst wiki, nikiipata tu nakudipu. Nataka tukaitafune loan yote ndani ya sku mbili. Kufa maskini ni fashion siku hizi
Hehehe, afu kawakosa wote, kweli nimeamini mtaka yote hukosa yote lol.Yan kuanzia wa Mwali...Husninyo....Amy na wako
Teh si madaktali tumegoma so mama ndo mtafutaji
Umesahau mvumilivu hula mbivu??..
Imekuaje hujaenda kuoga nae?
Usijitetee CV yako nomaaaaaaaa unatisha....hadi kakayako Nitonye anajua
Na haraka haraka haina baraka wifi..na ngoja ngoja huumiza tumbo wii
hata kama hujaelewa you have no choice whatsoever here!kakwambia kutimiza wajibu tu ila lazima angeenda
Nnachokupendea lawyer ni vile hudanganyiki... Tehe!
Kakako katekwa tena na majambazi au? Namsubiri aje tulale simwoni, alitoka kupaki gari vizuri ndo kayeyu mazima!..
Hehehe! Anavyopenda sifa akisoma hapa tutakoma na kaby.Huwa si attend any appointment bila ruhusa ya ricky.. He's such a sweetheart thats why ananiamini..
hawana utaratibu huo
Hahahah ushindwe na ulegee!
Ooh honey, nafurahi vile umerudi!..kuja chumbani swetie!Nimerudi my love njoo unipe malovee
Hehehe! Anavyopenda sifa akisoma hapa tutakoma na kaby.
JF nimwachie nani...
Lol kuna watu wanamajungu humu...so lazma tufuate nyendo zao kwa ukaribu sana
Sasa mbona unammendea mume wa mwali?
Alegee kabisaaa
uporoto ndo nani vilee?
Yan kuanzia wa Mwali...Husninyo....Amy na wako